Geor Davie ni nani?

Geor Davie ni nani?

Unamtambuaje nabii wa uongo!? Papa wenu akilindwa kawaida! Ila wazee wa upako wakilindwa mnawaita manabii wa uongo!! Bado cjalidhika na hoja yako. Fafanua zaidi!
Wee wee wee!! Papa ni mkuu wa nchi ya Vatican, huyo kiti hana hata shamba zaidi ya kiwanja alichopangishwa san sana kwa miaka isiyozidi 99
 
Angekuwa mtu wa YESU kwa maana halisi asingeweza kuishi kifahari namna hiyo huku waumini wake wakifa kwa matatizo madogo madogo. Huyu ni mbinafsi anayejua kufaidika na wajinga.
 
attachment.php


askofu na nabii george david ‘geordavie’ wa kanisa la geordavie ministry ‘ngurumo ya upako’ lililoko jijini arusha na kawe, dar hivi karibuni alifanya mkutano mkubwa na kutikisa nchi kwa kuwa na magari ya kifahari na ndege aina ya helikopta ‘chopa’ iliyokuwa ikirandaranda juu ya anga kulinda usalama wake, uwazi lina ushuhuda wa kutosha.

attachment.php



katika mkutano huo uliofanyika karatu mkoani manyara, mwandishi wetu alishuhudia msafara wa geordavie ambaye hutoa huduma ya uponyaji kwa njia za miujiza, ukiwavutia watu wengi kwa kuwa ulikuwa na ulinzi mkali ambao haujawahi kutokea.
geordavie1.jpg

mbali ya kuwa na chopa iliyokuwa ikiimarisha ulinzi ambayo ameinunua hivi karibuni, askofu huyo alikuwa na msururu wa magari yenye thamani kubwa yanayomfanya kutajwa kuwa tajiri kuliko maaskofu wengine wanatoa huduma katika makanisa ya kiroho tanzania.
Akiwa karatu, mbali na ulinzi binafsi, geordavie alikuwa akilindwa na askari wa jeshi la polisi, askari kanzu, askari wa kikosi cha kutuliza ghasia (ffu) na wale wa usalama barabarani.


attachment.php


mbali na askari hao wa serikali ambao wamekuwa wakimlinda kila anapofanya mikutano yake, pia geordavie analindwa na askari wake binafsi hali iliyowafanya baadhi ya watu kuamini kuwa ulinzi wake ni kama ule wa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania, jakaya mrisho kikwete ‘jk’.

“sijawahi kumuona jk akilindwa na chopa lakini mtumishi wa mungu geordavie analindwa na ndege katika msafara wake! Hii ni mara yangu ya kwanza kuona,” alisema muumini mmoja ambaye hakupenda kutajwa gazetini.

attachment.php


hata hivyo, baadhi ya watu walikuwa wakihoji utajiri wa askofu huyo kutokana na fedha nyingi anazozitumia anapofanya mikutano katika sehemu mbalimbali jijini arusha.
“tunajua kuwa ni tajiri, lakini anapata wapi fedha za kutumia hivi?” alihoji muumini aliyejitambulisha kwa jina moja la julius ambaye naye alihudhuria mkutano wa askofu huyo anayetumia kaulimbiu ya ngurumo ya upako katika kutoa huduma yake.

geordavie10.jpg

pia, waumini wengine walilalamikia ugumu wanaoupata wanapotaka kumuona mtumishi huyo wa mungu kutokana na ulinzi mkali anaopewa.
“kila mtu alitamani kumuona mtumishi wa mungu lakini haikuwezekana kutokana na ulinzi wake kuwa mkali, utajiri wake hakuna mfano, hata kule nyumbani kwake arusha, anaishi kama mfalme daud,” alisema fred mushi.

attachment.php


gazeti hili lilimsaka askofu na nabii geordavie kwa lengo la kutaka kujua sababu ya kuwa na ulinzi mkali na kutumia magari ya kifahari ikiwemo chopa katika mikutano anayoifanya lakini simu yake iliita bila kupokelewa.
attachment.php



bravo hongera askofu na nabii george david ‘geordavie’

walitaka awe maskini awaombe msaada
 
Angekuwa mtu wa YESU kwa maana halisi asingeweza kuishi kifahari namna hiyo huku waumini wake wakifa kwa matatizo madogo madogo. Huyu ni mbinafsi anayejua kufaidika na wajinga.

Nadhani pia anaujua ule mstari wa biblia unaosema UKITAKA KUOKOKA KAUZE VYOTE PESA UKAWAPE MASKINI KISHA UNIFUATE
 
Ulinzi wanini kama yeye ni mtumishi wa MUNGU malaika wanatosha sana ukiona mtu anaulinzi mkali jua anamaadui wa kimwili wengi
 
Leo sitofautiani na wewe. Wajinga wanaliwa lakini tunaojitambua tunajua kuwa wanayofanya hao manabii wa uongo ni kutimiza UNABII wa Yesu, maana hao tayari walitabiriwa. Hapo shetani yuko kazini

safi sana kumbe unajua yesu ni NABII tu
 
Hivi ndugu WAGALATIA tuwakumbushe mara ngapi kuwa Huu usanii mtaukuta Kwenye IMANI YENU TU?

Viongozi wenu wanakuibieni hivi hivi halafu nyie mnashangilia kwa kusema haleluyaaa!

Jamaa anakula bata kwa mrija nyie mnashindia mihogo mikavu.
Halafu akiamua kubaka mwanakondoo ANABAKA VILE VILE na lolote hafanywi!
Mmebaki kumuendea na hivyo vi senti vyenu halafu eti anakwambia weka hio sadaka kwenye Madhabahu halafu uje hapa NIKUSAMEHE DHAMBI ZAKO!

Halafu jitu zima Linalegea na kupiga goti likisubiri kusamehewa dhambi na Jizi!

Teh teh teh teh!

Haki ya Mungu kuna binaadamu wana akili mbovu duniani.

Yaani mpaka leo 2014 mnasamehewa Dhambi na MTU!
Dah!
Halafu eti ukitoa kuanzia Laki kwenda juu Jamaa ANAKUSAMEHE MADHAMBI in ADVANCE!
Yaani hata UKIZINI MKE WA MTU baada ya Mwezi dhambi zako anakuwa ameshakusamehe.

Kwi kwi kwi kwi!

Nimeshamwambia mgalatia Nyakageni anitengenezee mazingira huko kwa wagalatia wa kihaya.
Mimi na nabii MZIMU pamoja na nabii Ritz tunakuja kufungua kanisa letu la upako wa nguvu.

Kazi ya kutoa pepo tunamkabidhi Nabii sakni.

Haleuyaaa mimi mtoaji mapepo mzuri sana. Nishamtoa mapepo matumbo
 
Last edited by a moderator:
mtumishi wa mungu anaogopa nini ulinzi wote huo?

Wajinga ndio waliwao.

Wewe ninakuona unanifuata futa nimekukosea kitu gani wewe? Umetumwa na watu nini? au unatafuta Umaarufu kwa kupitia kwangu nini? Tafadhali jeheshimu utaheshimiwa.
Security is just a simple common sense. Certain measure may be taken when there's security concern . It is simple common sense. Jesus took security measures when such need arose . Paul took security measures when such need arose . If a man of God feel the need of measures in the face of robbery , assassin or kidnappers , he is free to take such measure according to his level of faith. That doesn't take away prayers. Because after all theses measures have been taken . We don't put faith in them . Safety is still by God. But the physical measures can prevent some evil
 
Wewe ninakuona unanifuata futa nimekukosea kitu gani wewe? Umetumwa na watu nini? au unatafuta Umaarufu kwa kupitia kwangu nini? Tafadhali jeheshimu utaheshimiwa.

This forum is created for exchange of ideas. I'm not interested to dig more ditches but to build more bridges.
I'm sorry if you were offended by what I said!
 
Security is just a simple common sense. Certain measure may be taken when there's security concern . It is simple common sense. Jesus took security measures when such need arose . Paul took security measures when such need arose . If a man of God feel the need of measures in the face of robbery , assassin or kidnappers , he is free to take such measure according to his level of faith. That doesn't take away prayers. Because after all theses measures have been taken . We don't put faith in them . Safety is still by God. But the physical measures can prevent some evil
Na wewe kwanini hufunguwi kanisa lako uwapate wafuasi kama alivyowapata huyu Mheshimiwa Dr Nabii na Mtumee Askofu Mkuu Geordavie na Wewe uwe Nabii.@Ishmael? Utafunguwa lini hilo Kanisa lako mimi nitakuwa mfuasi wako wa kwanza unasemaje?
 
attachment.php


Ghorofa la
Mheshimiwa Dr Nabii na Mtumee Askofu Mkuu Geordavie

Matayo 19:23-24

Hatari Za Utajiri

23 Kisha Yesu akawaambia wanafunzi, "Nawaambieni kweli, itakuwa vigumu kwa mtu tajiri kuingia katika Ufalme wa mbinguni. 24 Tena nawaambieni, ni rahisi zaidi kwa ngamia kupita katika tundu la sindano kuliko mtu tajiri kuingia katika Ufalme wa mbinguni."
 

Attachments

  • 1geodavie.jpg
    1geodavie.jpg
    42.7 KB · Views: 654
Na wewe kwanini hufunguwi kanisa lako uwapate wafuasi kama alivyowapata huyu Mheshimiwa Dr Nabii na Mtumee Askofu Mkuu Geordavie na Wewe uwe Nabii.@Ishmael? Utafunguwa lini hilo Kanisa lako mimi nitakuwa mfuasi wako wa kwanza unasemaje?
Maalim MziziMkavu unasema kweli, cha maana ni kufundisha neno la Mungu kwanza, halafu mengine yanafuata.
 
Maalim MziziMkavu unasema kweli, cha maana ni kufundisha neno la Mungu kwanza, halafu mengine yanafuata.
Kwanza ni Utajiri halafu Neno la Mungu litakuja baadae Twende Nigeria tukajifunze mambo ya kufanya Miujiza unasemaje? kule kuna Askofu anayefanya miujiza na ni Tajiri sana si unamjuwa yule Askofu mkuu Tajiri wa Ki Nigeria?
 
Huyo Ishmael aka Max afungue kanisa feki mara ngapi?

Analo moja ambalo liko Online tu! Lkn anadanganya waumini kuwa Ana ministry huko New York,
Kumbe HANA LLT. Na km anabisha Atueleze liko wapi.
Manake ile Address alioandika kwenye blog yake ni FAKE.
Nimekwenda mpaka hapo nimekuta vitu tofauti kabisa na anavyodai.

Jamaa huyu pia Anayafanya hayo hayo anayoyafanya huyo Nabii wa Uongo.
Tatizo la huyu wa Jf uwezo wake wa kufikiri ni mdogo mno. Kuna kipindi alijaribu kutapeli akadakwa na Polisi na balaa kubwa likamkuta yeye pamoja na ndugu zake wa kuzaliwa.
Siku hizi anakula Ruzuku tu za Wazungu.
Wanakondoo wengi wameshamshtukia.
Kumbe naye huyu.@Ishmael Nabii wa Uongo aliowataja Bwana Yesu kwenye injili ? kazi kweli ipo hapo.
 
Back
Top Bottom