Geor Davie ni nani?

Wanafanya biashara bila kukipa kodi.mimi ninaishauri TRA wawaondolee exemption watu kama hawa
 
Huyu jamaa kwake Biblia siyo kitu cha muhimu...Yeye anaongea na Mungu moja kwa moja...

Maajabu mengine ni kuwa ana Makadinali..
 

Its not fair ndugu,kila mtu anaamini kile akijuacho,naamini wapo masheikh vilevile wanaotumia nguvu na utapeli kama ilivyo kwa wakristo,kwa hiyo hamna mantiki ya kushambulia kundi fulani la dini,wote dini ni za kuletewa,so dont judge the whole group by the dees of one person
 
kinachonishangaza anaongea na mungu moja kwa moja ya nin sasa anatumia ulinzi mkubwa vile kama yeye nabii amwamini mungu
 



Anaitwa "His Exellency Honourable Geor Davie The Prophet Ngurumo ya Upako" Mega Annointing.

Ana walinzi binafsi wasiopungua 12. Nasikia sasa kanunua chopa ya pili. Magari ya kifahari yakutosha. Msafara wake ukipita boda huwa haukaguliwi,awe anaenda kenya au anatoka.

Msafara wake wa arusha huwa una eskot ya difenda 2 za polisi. Anadai yeye ndio msemaji wa Mungu duniani,ukitaka kujua Mungu anasema nini msikilize.

Anadai viongozi wa tz lazima wamuombe ushauri kabla hawajafanya jambo lolote.
 
Manabii karibia wote wa miaka ya karibuni ni wasanii na matapeli tu,nime ona zambia,zumbabwe,south africa na hata hapa nyumbani,wana ushi maisha ya anasa sana kwa kupitia migongo ya waumini wao ambao na masikini kabisa.
Hakuna taarifa za mapato na matumizi,,makanisa yanakua private business af serikali zime lala hata hazi wadai kodi za mapato.Mwingine uta sikia kaoteshwa anunue lamborghini ,hellicopter,private jet nk.wajinga ndo waliwao
 

ndio kuna manabii wa uongo biblia inasema nabii wa kweli akitabiri vitu vinakua ila wa uongo havitokei na pia wauongo hasemi jina la yesu wa ukweli anasema kwa jina la yesu
GEORDAVIE ni nabii wa kweli akisema kitu nisheria na anasema katika jina la KRISTO YESU!
 
Geordavie is the senior prophet and he is the great teacher
upinge au ukubal the truth will never change
 

Naona unapiga chapuo hapa....Nyie mmelaaniwa na huyo tapeli wenu..
 
Geordavie is the senior prophet and he is the great teacher
upinge au ukubal the truth will never change

Hosea 4:6

Unaangamia kwa kukosa maarifa....

Hebu nipe historia ya Jehova Shaggggyyyyy......Hii dunia ina vituko vya aina yake..
 

eee bhana eee !
 
Hata babu wa Loliondo watu walimwamini,sisi tuliwaambia watu hapa hapa JF kuwa huyo babu ni tapeli wapi watu hawakusikia wakaja na nukuu zao hapa lakini mwisho wake umeonekana,hata hao manabii matapeli nao kuna siku wataumbuka huwezi ukaongopa kila siku,lazima kuna siku utaumbuka,wengi wao ni wauza sembe na vipusa na sio sadaka ambazo zinawatajirisha.Mtu anayeongea na Mungu(kwanza anakufuru)hawezi kutembea na walinzi ,hata Yesu hakutembea na walinzi.
 

Kuna mmoja anaitwa Gwajima kesha umbukua....Alikuwa anakula muke ya mtu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…