Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
(Al islam dinul hak)
Uislam ndio.dini ya ukweli...hakuna hizi propaganda zakudanganyana
Wajinga ndio waliwao...Yani kuna maskini wa hela...ila hawa wenzetu wa mlengo wapili ni maskini wa akili....manabiii na mutume hahahahaha huyo bado kugeuka kibwetele...na mtakufa bila kelele
ASKOFU na Nabii George David Geordavie wa Kanisa la Geordavie Ministry Ngurumo ya Upako lililoko jijini Arusha na Kawe, Dar. Kwa sasa ndie anaaminika kuwa ndiye Askofu mwenye utajiri mkubwa na Ulinzi wa hali ya juu, Kuna watu wengine wamefananisha ulinzi wake kama wa Viongozi wa juu serikalini.
Mbali na kulindwa na walinzi wake binafsi pia hulindwa na Polisi (FFU) ili kumhakikishia amani na ulinzi wa kutosha kila
mahali anapokuwa. Waumini wake wengi wanapata wakati mgumu kumuona na kuongea nae kwasababu ya ulinzi huu
mkali alio nao huyu askofu.
![]()
Mbali ya kuwa na chopa iliyokuwa ikiimarisha ulinzi ambayo ameinunua hivi karibuni, askofu huyo alikuwa na msururu wa magari yenye thamani kubwa yanayomfanya kutajwa kuwa tajiri kuliko maaskofu wengine wanatoa huduma katika makanisa ya kiroho Tanzania.Akiwa Karatu, mbali na ulinzi binafsi, Geordavie alikuwa akilindwa na askari wa jeshi la polisi, askari kanzu, Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) na wale wa usalama barabarani.
![]()
![]()
![]()
![]()
Mungu nae alijitia wazimu tu kuumba binaadam! Angekaa na chui kikaeleweka!
Kiruuu....
Huyu jamaa karibia anazindua Biblia yake...
Ni mchumia tumbo wa aina yake...
Manabii karibia wote wa miaka ya karibuni ni wasanii na matapeli tu,nime ona zambia,zumbabwe,south africa na hata hapa nyumbani,wana ushi maisha ya anasa sana kwa kupitia migongo ya waumini wao ambao na masikini kabisa.
Hakuna taarifa za mapato na matumizi,,makanisa yanakua private business af serikali zime lala hata hazi wadai kodi za mapato.Mwingine uta sikia kaoteshwa anunue lamborghini ,hellicopter,private jet nk.wajinga ndo waliwao
ndio kuna manabii wa uongo biblia inasema nabii wa kweli akitabiri vitu vinakua ila wa uongo havitokei na pia wauongo hasemi jina la yesu wa ukweli anasema kwa jina la yesu
GEORDAVIE ni nabii wa kweli akisema kitu nisheria na anasema katika jina la KRISTO YESU!
Geordavie is the senior prophet and he is the great teacher
upinge au ukubal the truth will never change
anaitwa "his exellency honourable geor davie the prophet ngurumo ya upako" mega annointing.
Ana walinzi binafsi wasiopungua 12. Nasikia sasa kanunua chopa ya pili. Magari ya kifahari yakutosha. Msafara wake ukipita boda huwa haukaguliwi,awe anaenda kenya au anatoka.
Msafara wake wa arusha huwa una eskot ya difenda 2 za polisi. Anadai yeye ndio msemaji wa mungu duniani,ukitaka kujua mungu anasema nini msikilize.
Anadai viongozi wa tz lazima wamuombe ushauri kabla hawajafanya jambo lolote.
Hata babu wa Loliondo watu walimwamini,sisi tuliwaambia watu hapa hapa JF kuwa huyo babu ni tapeli wapi watu hawakusikia wakaja na nukuu zao hapa lakini mwisho wake umeonekana,hata hao manabii matapeli nao kuna siku wataumbuka huwezi ukaongopa kila siku,lazima kuna siku utaumbuka,wengi wao ni wauza sembe na vipusa na sio sadaka ambazo zinawatajirisha.Mtu anayeongea na Mungu(kwanza anakufuru)hawezi kutembea na walinzi ,hata Yesu hakutembea na walinzi.
Hujielewi, simply!