Huyu Mtumishi wa Mungu vyeo vyote kampa nani? Hata huyo Papa wa
italy hana hivyo vyeo? Mkuu
Ngongo huyu ( Mheshimiwa Dr Nabii na Mtumee Askofu Mkuu Geordavie) alicho kosa cheo kimoja tu na
yeye angelisema kuwa nimwana wa Mungu basi hapo angelifanana na Bwana Yesu kama wenzetu Wakristo walivyo mpa cheo Bwana
Yesu kuwa ni Mwana wa mungu na yeye huyu Mheshimiwa Dr Nabii na Mtumee Askofu Mkuu Geordavie angejipa cheo hicho
angelifanana na Bwana Yesu.Hawa ndio aliowasema Bwana Yesu kuwa Watakuja Manabii wa uongo ndio hawa wamesha kuja
tunawaona kwa maho yetu mwenye maho na akili ajionee mwenyewe kazi kwenu.