Geordavie au nabii mkuu ukimsifia tu akakusikia unaruka na milioni 3. Upepo umehamia Kisongo

Geordavie au nabii mkuu ukimsifia tu akakusikia unaruka na milioni 3. Upepo umehamia Kisongo

Aisee huyu dingi nisaidieni namba ya huyu nabii mkuu !! Nasikia upepo umehamia kisongo .anagawa pesa anagawa na magari !! Nampataje huyu ?
Acheni akili za kijinga,kama ana huo utajiri kwanini asianzishe kiwanda au awe kama Eron musk?hayo ni maigizo tu.
 
Mombasa zinagawiwa pesa za bure huna haja ya kuwa chawa wa mtu yeyote.
 
Jamaa huwa anapenda sifa sana,kwanza huwa anasema yeye ndo nabii mkuu hapa tz na kipindi cha nyuma alikuwa anawashangaa watu wanaoenda kwa Joshua wanamuacha yeye yupo hapa karibu,alikuwa anawaombea mabaya yawapate huko kwenye safari zao za kwenda kwa TB JOSHUA

Jamaa huwa akiingia pale mazabauni kuna kitu inaitwa kupanda mbegu,watu wanaenda kuweka hela kwenye miguu yake ili wafanikiwe zaidi,zile hela zinazolewa kwa mifagio na zinawekwa kwenye madiaba

Kwenye hema lake watu wanakaa kulingana na sadaka wanavyotoa kuna sehemu ya 15,000,10000 na hakuna sadaka chini ya 2000
 
Hivi Kweli huyo Geodavie ni mtumishi wa Mungu!Na je huo Unabii Mkuu aliupataje au hata angejiita Malaika Mkuu nani anakataa maana vyeo vingine mwanadamu anajipa tu baada ya kuwa na watu wengi wenye shida wanazoshindwa kuzitatua wenyewe. nabii mkuu, je manabii wadogo walioko nchi yake ni wangapi na ni nani alimchagua kuwa nabii mkuu??. Tuzijaribu roho zitokazo kwa Mungu wa kweli otherwise usanii umetapakaa sana..
yanasema Watu wangu wataangamia kwa kukosa Maarifa...Wajinga wasiojisimamia ndio waliwao..
 
Jamaa huwa anapenda sifa sana,kwanza huwa anasema yeye ndo nabii mkuu hapa tz na kipindi cha nyuma alikuwa anawashangaa watu wanaoenda kwa Joshua wanamuacha yeye yupo hapa karibu,alikuwa anawaombea mabaya yawapate huko kwenye safari zao za kwenda kwa TB JOSHUA

Jamaa huwa akiingia pale mazabauni kuna kitu inaitwa kupanda mbegu,watu wanaenda kuweka hela kwenye miguu yake ili wafanikiwe zaidi,zile hela zinazolewa kwa mifagio na zinawekwa kwenye madiaba

Kwenye hema lake watu wanakaa kulingana na sadaka wanavyotoa kuna sehemu ya 15,000,10000 na hakuna sadaka chini ya 2000
Yani ndio utajua wajinga kweli wapo....na hakuna kitu wanachukia kama kuitwa wajinga....
Mtu mwerevu siku zote huujua ujinga wake.
 
Back
Top Bottom