SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Unafikiri kila mtu analowanishwa kama wanavyokulowanisha wewe?Unataka akulowanishe.?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafikiri kila mtu analowanishwa kama wanavyokulowanisha wewe?Unataka akulowanishe.?
Acheni akili za kijinga,kama ana huo utajiri kwanini asianzishe kiwanda au awe kama Eron musk?hayo ni maigizo tu.Aisee huyu dingi nisaidieni namba ya huyu nabii mkuu !! Nasikia upepo umehamia kisongo .anagawa pesa anagawa na magari !! Nampataje huyu ?
Mkuu sikutarajia kusoma hii reply kutoka kwako asee!Unataka akulowanishe.?
Hahahahaha,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wamechoka jamaniiMwambie akuoe
[emoji848][emoji848][emoji16][emoji16]Hahahahaha,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wamechoka jamanii
Nimezingua auMkuu sikutarajia kusoma hii reply kutoka kwako asee!
Ukiachika wewe ndio nitaen
Not kuzingua but kuna wakati andiko, comments zetu humu huwa zinahakisi appearence wetu that's why!.Nimezingua au
Yani ndio utajua wajinga kweli wapo....na hakuna kitu wanachukia kama kuitwa wajinga....Jamaa huwa anapenda sifa sana,kwanza huwa anasema yeye ndo nabii mkuu hapa tz na kipindi cha nyuma alikuwa anawashangaa watu wanaoenda kwa Joshua wanamuacha yeye yupo hapa karibu,alikuwa anawaombea mabaya yawapate huko kwenye safari zao za kwenda kwa TB JOSHUA
Jamaa huwa akiingia pale mazabauni kuna kitu inaitwa kupanda mbegu,watu wanaenda kuweka hela kwenye miguu yake ili wafanikiwe zaidi,zile hela zinazolewa kwa mifagio na zinawekwa kwenye madiaba
Kwenye hema lake watu wanakaa kulingana na sadaka wanavyotoa kuna sehemu ya 15,000,10000 na hakuna sadaka chini ya 2000