Jumanne Sinto
Member
- Nov 7, 2019
- 23
- 9
Habari Wakuu..Me ni Shabiki mkubwa wa Basketball,Lakini Pia Nafuatilia sana Soka,,Nakubali Sana Uchambuzi Wa Kimpira Wa Kina, Nasri Khalfan, George Job, Hans Rafael, George Magunga, Farhan Kihamu, Evodius Oscar,Jemedari Said Kazumari, Geof Leah na Derrick Lissu,,
Ni Wachambuzi Wazuri Sana Lakini Kuna Hiki Kichwa, George Ambangile (Coach) Always Huwa nawaza Why Hapewi Timu Ainoe? Au hana leseni? Maana kuna Kipindi Nilimsikia Jemedari Said Kazumari Akisema Ambangile kuna course alikuwa anaichukua Pale TFF,,,
,IQ ya Ambangile kuhusu Mpira ni kubwa mno sijawahi kuona hapa TZ, Anani'inspire nqmimi kutaka kuanza kuchambua Soka,Kawa improved zaidi katika ufundi wa mpira,Yuko BRIGHT sana katika TACTICS PRESENTANTION and TECHNIQUES OF FOOTBALL EXPRESSIONS,,Jamaa Akianza kuchambua mpira kama hukuangalia mechi but inakuwa kama game uliicheki..Duh..!!Kina Hans Rafael Uchambuzi wao ni Facts and Expression of soka mentality, George Magunga wa Pale Crown FM anapita sana njia za Ambangile,,Sijui kwanini Simba,Yanga au Azam hawamtumii huyu mchizi katika mambo yao ya kimpira?..View attachment 3441596Naombeni kujua Before Wasafi Ambangile alikuwa media gani? Na hii Elimu kubwa ya Soka kaipatia wapi?Au ndo kaitoa kwa Mwalimu wake Oscar Milambo Mkurugenzi wa Ufundi Pale TFF?, ila sidhani maana ata Milambo Mwenyewe Alikua magic Fm na alikua anawasha moto sana,,nashan n ndoto yake kua kocha one day
Yes Mimi mwenyewe sikujua Ila 2019 nilimuona TBC kwenye TV ana run kipindi Fulani kachoka sana kapoteza Nuru .Kumbe Anna peter aliendaga TIBISII!!
Kwa kifupi aliacha kiatu kikali akakimbilia kuvaa mdoshoππ
Lesa sidi uyu wa Crown au?Yes Mimi mwenyewe sikujua Ila 2019 nilimuona TBC kwenye TV ana run kipindi Fulani kachoka sana kapoteza Nuru .
Wakati kipindi kile around 2012-2014 alikuwa yupo juu Sana , na mpaka Leo hakuna Mtangazaji wa kike anaweza mfikia .
Labda yule Lessa sidi Toto la kwenda kimtindo yupo vizuri.
Coca,Nampenda the way alivyo, namkubali huyu mkaka, mkewe anafaidi sana Lol.
Mfikishie haswaaa, muambie nampenda sana, siku ya ndoa yake niliona wivu kwa mkewe.Coca,
Upo tayari Nimfikishie huu ujumbe wako?
Nimwambie Kuna mdada white from jf anakupenda sana. Niscreen shot kabisa.
Yes yupo vzrL
Lesa sidi uyu wa Crown au?
Mwarabu wa wasafi yule namkubali yupo direct hana kona kona,,Anasemaga ukweli2..Nasri ndo alimsema mno Aziz Ki kapoteza fitness kama msimu juzi, na ndo kilichotokea,,Pindi anaenda Wydad alisema hawezi pata namba hana fitness, tunakuja skia kocha kamkataa,,Haya Aliisema Simba na kuipa %4 ya kubeba ubingwa tulimshangaa mno na msimu umeisha Simba yupo Trophyless..Mwarabu ni mkweli na hana Utimu labda HansBongo Kuna wachambuzi wazuri tu ambao hawana usimba na uyanga kwenye kuchambua soma(hawaelemewi na mahaba)
Mbali na Ambangile,yupo Ticha Sama wa pale clouds,Kuna Geofrey Mwamnyanyi wa U live ya U Fm(Azam). Hawa jamaa wakoongea naachaga shughuli ninayofanya na kuwasikiliza.
Wapewe kipaza Hans,Yule mwarabu wa wasafi,Jemedari said Sasa!!!
MTU unajua una mkia then unasema unamzimikia kiparangoto wa wasafi?Nampenda the way alivyo, namkubali huyu mkaka, mkewe anafaidi sana Lol.
Huyo ni mwanaume ana mkiaUmalaya tu na wivu cocastic
Ni MKRISTO Azam watamwonea wivu.kwakuwa Azam wanapita hapa wataweza kumchukua Ila nachojua jamaa yupo vizuri na anajua anachofanya .
I'd ya kike zipo MMU huyo kidume mwenzio kuwa makini.Coca,
Upo tayari Nimfikishie huu ujumbe wako?
Nimwambie Kuna mdada white from jf anakupenda sana. Niscreen shot kabisa.
Ohooo πΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈHuyo ni mwanaume ana mkia
Thibitisha kuwa cocastic ni wa kiume.I'd ya kike zipo MMU huyo kidume mwenzio kuwa makini.
Sema mwanangu sana ambaye nammudu ni Gharib Mzinga. Angekuwa yeye ningemzingua.Mfikishie haswaaa, muambie nampenda sana, siku ya ndoa yake niliona wivu kwa mkewe.
ππππ
Endeleeni mtajikuta pabayaThibitisha kuwa cocastic ni wa kiume.
Coca ma-shosti tutakupiga tukuue πMfikishie haswaaa, muambie nampenda sana, siku ya ndoa yake niliona wivu kwa mkewe.
ππππ