Very true broTujenge tabia ya kusoma vitabu hasa kwa mambo ambayo tuna passion nayo. Mtu anayejisomea utamjua tu akifungua mdomo. Na mtu asiyesoma utamjua tu maana kuna vitu akifungua mdomo mpaka unashangaa. Mf. Mtu mwenye tabia ya kujisomea hawezi kamwe kufungua mdomo kusema kwamba eti Tanzania tunafanya vizuri kiuchumi kuliko Marekani na Ulaya.
Tujengeni tabia ya kujisomea wakuu. Hakuna shortcut katika kuwa mbobevu katika uwanja wako!
Maskini wabongo. Kiingereza kinawapiga chenga ndiyo maana. Sikiliza: Mimi ukiniambia nichambue soka, nina uwezo. Hawa unaowataja nina uhakika nawazidi sana. Yote haya nimeweza kwa sababu ya kuwa mpenzi wa mpira na zaidi kuelewa kiingereza. Hata wewe unaweza haya iwapo tu utakuwa unasoma magazeti ya nje na kufuatilia pundits mbalimbali wa mpira. Kama lugha inapanda achana na kusoma magazeti ya Bongo au kusikiliza uchambuzi wa hawa jamaa. Fuatilia pundits wa kimataifa, TV na social media kwa ujumla.Habari Wakuu..Me ni Shabiki mkubwa wa Basketball,Lakini Pia Nafuatilia sana Soka,,Nakubali Sana Uchambuzi Wa Kimpira Wa Kina, Nasri Khalfan, George Job, Hans Rafael, George Magunga, Farhan Kihamu, Evodius Oscar,Jemedari Said Kazumari, Geof Leah na Derrick Lissu,,
Ni Wachambuzi Wazuri Sana Lakini Kuna Hiki Kichwa, George Ambangile (Coach) Always Huwa nawaza Why Hapewi Timu Ainoe? Au hana leseni? Maana kuna Kipindi Nilimsikia Jemedari Said Kazumari Akisema Ambangile kuna course alikuwa anaichukua Pale TFF,,,
,IQ ya Ambangile kuhusu Mpira ni kubwa mno sijawahi kuona hapa TZ, Anani'inspire nqmimi kutaka kuanza kuchambua Soka,Kawa improved zaidi katika ufundi wa mpira,Yuko BRIGHT sana katika TACTICS PRESENTANTION and TECHNIQUES OF FOOTBALL EXPRESSIONS,,Jamaa Akianza kuchambua mpira kama hukuangalia mechi but inakuwa kama game uliicheki..Duh..!!Kina Hans Rafael Uchambuzi wao ni Facts and Expression of soka mentality, George Magunga wa Pale Crown FM anapita sana njia za Ambangile,,Sijui kwanini Simba,Yanga au Azam hawamtumii huyu mchizi katika mambo yao ya kimpira?..View attachment 3441596Naombeni kujua Before Wasafi Ambangile alikuwa media gani? Na hii Elimu kubwa ya Soka kaipatia wapi?Au ndo kaitoa kwa Mwalimu wake Oscar Milambo Mkurugenzi wa Ufundi Pale TFF?, ila sidhani maana ata Milambo Mwenyewe haoni ndani kwa Ambangile😁😁
Kwa nini msifutilia wachambuzi wa maana, waliocheza mipira ya kimataifa? Au english gongana? Hawa wote wanaokoteza huko na kuwaletea ninyi.George Ambangile anatumia sana maneno ya kikoloni kwenye uchambuzi wake kuliko kitanzania,ila namkubali.
Lesa kaiga swaga za Anna Peter enzi za power jamYes Mimi mwenyewe sikujua Ila 2019 nilimuona TBC kwenye TV ana run kipindi Fulani kachoka sana kapoteza Nuru .
Wakati kipindi kile around 2012-2014 alikuwa yupo juu Sana , na mpaka Leo hakuna Mtangazaji wa kike anaweza mfikia .
Labda yule Lessa sidi Toto la kwenda kimtindo yupo vizuri.
Aende Agape Tv
Toka lini Muislam akamuonea wivu mkristoNi MKRISTO Azam watamwonea wivu.
Kama tapeli Allah tu anawivu itakuwa wafuasi wake?Toka lini Muislam akamuonea wivu mkristo
Nimescreenshot huu ujumbe na kumtumia, George amecheka sana😀Mfikishie haswaaa, muambie nampenda sana, siku ya ndoa yake niliona wivu kwa mkewe.
😂😂😂😂
Wivu wakutembea na mavi au siku hizi mnachamba kwa maji au toilet paper bado.Kama tapeli Allah tu anawivu itakuwa wafuasi wake?
Allah anasema mchambe na nini mkuu?Wivu wakutembea na mavi au siku hizi mnachamba kwa maji au toilet paper bado.
Maji kama hakuna kabisa maji unatumia udongo na hio mi busara tupu binadamu kaumbwa kwa.maji na udongo, sa we maji yapo unatumia karatasi hahahaAllah anasema mchambe na nini mkuu?
buyo ni kocha kwa elimu anayoipata hapahapa tanzania chini ya tff na mwalimu ni oscar miramboHabari Wakuu..Me ni Shabiki mkubwa wa Basketball,Lakini Pia Nafuatilia sana Soka,,Nakubali Sana Uchambuzi Wa Kimpira Wa Kina, Nasri Khalfan, George Job, Hans Rafael, George Magunga, Farhan Kihamu, Evodius Oscar,Jemedari Said Kazumari, Geof Leah na Derrick Lissu,,