George Ambangile kabla ya Wasafi FM alikuwa wapi? Na elimu hii ya soka kaipata wapi?

George Ambangile kabla ya Wasafi FM alikuwa wapi? Na elimu hii ya soka kaipata wapi?

Mtoto wa Marehemu John Komba
Jina lake nani maana Mama Komba alikua Mwalimu wangu Shule ya msingi, Bibi yake alikua ana kuja shuleni kutuuzia Ice-cream na babgia ukimpa pesa anakugeuka anasema hujampa pesa wakati umempa sass dawa yake ilikua ni kuchukua Ice-cream na kukimbia maana mnakua watoto wengi kipindi cha Mapumziko.
 
Tasnia yoyote ambayo haina miiko, mara nyingi hujaza wazushi, waropokaji, machawa nk.Uzuri wa huyu Ambangile yy anachambua mpira technically.Yaani pamoja mechi hujaiona ila unaweza kuiona kupitia summary yake fupi aliyo iandika instagram.

Ila wengine hujifanya kujua kila kitu, halafu wabishi wanachambua mikataba utazani wa wanasheria, hao hao wanajifanya mawakala, hao hao wanajiingiza kwenye siasa za nje za mpira kwa kuchagua upande, halafu ubaya zaidi wana ongea bila reference na ndio maana siku hizi kila mtu mchambuzi, fujo tupu wengine wamejazana YouTube, wengine Instagram kila mtu anasema lake. Sababu tasnia yao haina miiko na naiona ikienda kupoteza thamani.

Ndio maana Oscar Oscar na Kumwembe, wametoka huko wanafanya vipindi vya kawada vya jioni sababu kwenye tasnia ya uchambuzi kuna vurugu tupu.Kuna siku moja Zakazakazi aliwaabia ukweli Crown,kwamba kipindi chao kimekuwa kama kijiwe cha kahawa, wanabishana sana bila reference, kila kitu wao wanajua na wanaendekeza uchawa.
 
Magic FM ni radio ya sisiemu kule ni Kama TBC utalipwa mshahara Ila hakuna career development .

Kuna Dada alikuwa anaitwa Anna Peter alikuwa EA-radio alipomaliza kusoma Degree yake akaamua kuingia TBC naona ndo kilikuwa kifo chake while she was too talented .

Kama angeenda hata CloudsFM angekuwa na jina kubwa Sana na angepata deals kubwa Sana .
Dah Anna Peter umenikumbusha enzi zake na Mussa hussen nilikua napenda kisikiliza kipindi Chao pale east Africa redio.
 
Magic FM ni radio ya sisiemu kule ni Kama TBC utalipwa mshahara Ila hakuna career development .

Kuna Dada alikuwa anaitwa Anna Peter alikuwa EA-radio alipomaliza kusoma Degree yake akaamua kuingia TBC naona ndo kilikuwa kifo chake while she was too talented .

Kama angeenda hata CloudsFM angekuwa na jina kubwa Sana na angepata deals kubwa Sana .
Yaan lilikuwa bonge la kipaji ati alienda sijui kutangaza kilimo yaani kuna mahala unaenda kujimaliza labda pochi inasoma huko lkn...
 
Oooh duh kumbe alikuwa anaenda kuwa Doctor 😷...Alikuwa nyuma ya mic na camera yaani Producer wa kipindi na director/cameraman au?..Yees yupo ktk ufundi zaidi..Propaganda za soka ye hazitaki kabisa
Usikariri kuwa pcb wote ni doctors to br
 
Kuchambua mpira vizuri na kui coach timu ni vitu viwili tofauti, usidanganyike, wengi Wana google na kujiandaa kabla ya kipindi
 
Tujenge tabia ya kusoma vitabu hasa kwa mambo ambayo tuna passion nayo. Mtu anayejisomea utamjua tu akifungua mdomo. Na mtu asiyesoma utamjua tu maana kuna vitu akifungua mdomo mpaka unashangaa. Mf. Mtu mwenye tabia ya kujisomea hawezi kamwe kufungua mdomo kusema kwamba eti Tanzania tunafanya vizuri kiuchumi kuliko Marekani na Ulaya.

Tujengeni tabia ya kujisomea wakuu. Hakuna shortcut katika kuwa mbobevu katika uwanja wako!
 
Uchambuzi wa mpira ni moja ya kazi rahisi sana kufanya……. Kinachotakiwa ni uwe na uwasilishaji mzuri kuvutia wasikilizaji wako. Ambagile yupo vizuri kwenye kuwasilisha

Kwa sikio langu mchambuzi bora kabisa wa soko hapa bongo kwenye idara zote ni AMRI KIEMBA pale Mawinguni
 
Back
Top Bottom