George Ambangile kabla ya Wasafi FM alikuwa wapi? Na elimu hii ya soka kaipata wapi?

George Ambangile anatumia sana maneno ya kikoloni kwenye uchambuzi wake kuliko kitanzania,ila namkubali.
 
Very true bro
 
Maskini wabongo. Kiingereza kinawapiga chenga ndiyo maana. Sikiliza: Mimi ukiniambia nichambue soka, nina uwezo. Hawa unaowataja nina uhakika nawazidi sana. Yote haya nimeweza kwa sababu ya kuwa mpenzi wa mpira na zaidi kuelewa kiingereza. Hata wewe unaweza haya iwapo tu utakuwa unasoma magazeti ya nje na kufuatilia pundits mbalimbali wa mpira. Kama lugha inapanda achana na kusoma magazeti ya Bongo au kusikiliza uchambuzi wa hawa jamaa. Fuatilia pundits wa kimataifa, TV na social media kwa ujumla.
 
George Ambangile anatumia sana maneno ya kikoloni kwenye uchambuzi wake kuliko kitanzania,ila namkubali.
Kwa nini msifutilia wachambuzi wa maana, waliocheza mipira ya kimataifa? Au english gongana? Hawa wote wanaokoteza huko na kuwaletea ninyi.
 
Lesa kaiga swaga za Anna Peter enzi za power jam
 
Mfikishie haswaaa, muambie nampenda sana, siku ya ndoa yake niliona wivu kwa mkewe.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Nimescreenshot huu ujumbe na kumtumia, George amecheka sana๐Ÿ˜€
 
buyo ni kocha kwa elimu anayoipata hapahapa tanzania chini ya tff na mwalimu ni oscar mirambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ