Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Absolutely 👏Ambangile asilinganishwe na ujinga tafadhali
We jamaa umeongea vile nilikuwa natamani kumwelezea Ambangile lakini nikawa nakosa maneno mazuri!Ambangile anaelezea usichokiona hata km umeangalia match
Kwanza mada inasemaje! Mm nimeona George vs Ali edo anatokea wapi hapoEdo Kumwembe vipi? Au hachambui?
Mkuu tofautisha kati ya Msimuliaji na mchambuzi;Edo Kumwembe vipi? Au hachambui?
Wote ni Majanga.......! Yaani hamna Kitu. Hao ni mashabiki kama wengine...... Kuwa mchambuzi Mchezo...!
Are you serious!! Tofautisha mchambuzi Wa mpira na mpenzi Wa soka! Kum we me ni mpenzi wa soka! Nanimfuatiliaji wa soka. Hiyo imemwezesha kuwa mwandishi wa makala nzuri za soka! Uchambuzi wa soka ni taaluma!! Ni sayansi ya soka!!Edo Kumwembe vipi? Au hachambui?