Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,934
- Thread starter
-
- #61
Anaitwa Getrudehivi huyo kibibi sijui wa tamthilia ya huba jina lake halisi nani nikamzooom???
nasikia alkua anatoka na G wangu[emoji24]...
ngoja nikamzoomAnaitwa Getrude
[emoji1] [emoji1] [emoji1]ngoja nikamzoom
Yupi huyo ndo kibibiAnaitwa Getrude
Naunga mkono hoja.Hahahaha! Yanini kuficha hisia mama! Bora ulivyojilipua soon habari zitamfikia lkn jiandae hata akiwa ameoa atakudanganya hajaoa. Ila akishakula kitumbua tu ndo utaanza kuishi kwa kutegemea wanasaikolojia.
Mleta uzi Scorpion me hata mimi nakupenda sana.Huyu kaka nampenda sana jamani...
Sura yake sasa,ukija kune sauti dah unaeza naniliu hivi hivi....
Kwa anaemjua ameoa? au ana gf??
Yani siku hizi sipitwi na jahazi kizembe...nikimsikia tu me nafwaaa...
Ikifika mida hiyo hata stress zinapungua....
G ukiona hii post jua nakufeel [emoji6]
# Mytzeecrush
View attachment 486109
hivyo hivyo tu...najua ana mtoto wa kiume....ila hajaoaNaunga mkono hoja.
Acha kujitafutia steless.mpende huyo jamaa anayekupenda hapo juu.mwanaume hampendi mwanamke anayejionyesha kuwa anampenda atakuchezea tu.limoyo langu liko kwa bantu sasa...
Mungu akusaidie katika kampeni yako hiyo nawe usije pewa jibu kama hililimoyo langu liko kwa bantu sasa...
Ahsante sana mkuu [emoji120]Acha kujitafutia steless.mpende huyo jamaa anayekupenda hapo juu.mwanaume hampendi mwanamke anayejionyesha kuwa anampenda atakuchezea tu.
Dada zetu uwa hawajui hili.mimi mwanamke akijirahisi hivi.uwa namtilia mashaka.nitafanya nae.na ndo mwisho wa mazoea.mwanamke anatakiwa atie kaugumu kidogo.Ahsante sana mkuu [emoji120]
jamaa hapo juu anachangamsha gengeAcha kujitafutia steless.mpende huyo jamaa anayekupenda hapo juu.mwanaume hampendi mwanamke anayejionyesha kuwa anampenda atakuchezea tu.
kaugumu ili iweje....hainaga kuvungaDada zetu uwa hawajui hili.mimi mwanamke akijirahisi hivi.uwa namtilia mashaka.nitafanya nae.na ndo mwisho wa mazoea.mwanamke anatakiwa atie kaugumu kidogo.
Nini kimesababisha ufikie hitimisho hilo mrembo?jamaa hapo juu anachangamsha genge
sawaNini kimesababisha ufikie hitimisho hilo mrembo?
Nimeongea kilichopo moyoni mwangu.
Ndio (according to scorpio me) [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yupi huyo ndo kibibi
hivi bado wako wote? ( kama unajua)Ndio (according to scorpio me) [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]