George Bantu

George Bantu

hivi huyo kibibi sijui wa tamthilia ya huba jina lake halisi nani nikamzooom???
nasikia alkua anatoka na G wangu[emoji24]...
 
Huyu kaka nampenda sana jamani...
Sura yake sasa,ukija kune sauti dah unaeza naniliu hivi hivi....
Kwa anaemjua ameoa? au ana gf??
Yani siku hizi sipitwi na jahazi kizembe...nikimsikia tu me nafwaaa...
Ikifika mida hiyo hata stress zinapungua....
G ukiona hii post jua nakufeel [emoji6]
# Mytzeecrush

View attachment 486109
Mleta uzi Scorpion me hata mimi nakupenda sana.
Kila nikiona post zako tu nachanganyikiwa.
Hivi umeolewa? Au una Bf?
 
Back
Top Bottom