George Bantu

George Bantu

Huyu kaka nampenda sana jamani...
Sura yake sasa,ukija kune sauti dah unaeza naniliu hivi hivi....
Kwa anaemjua ameoa? au ana gf??
Yani siku hizi sipitwi na jahazi kizembe...nikimsikia tu me nafwaaa...
Ikifika mida hiyo hata stress zinapungua....
G ukiona hii post jua nakufeel [emoji6]
# Mytzeecrush

View attachment 486109
Mh
 
Huyu nge nimemwota, tusubir post za kesho huenda nami nikawa tumaini lake
 
Back
Top Bottom