George Floyd (RIP) ni nani, alikuwa anajishughulisha na nini?

George Floyd (RIP) ni nani, alikuwa anajishughulisha na nini?

Sio yeye aliyeizizimisha dunia bali ni tukio alilofanyiwa ndo limeshock the entire world ukizingatia race yake na ya mtu aliyemfanyia kitendo kile.Watu wamelichukulia kama mwendelezo wa ukandamizaji wa whites dhidi ya black. Na ile picha ya tukio imetoa themes nyingi za kutosha.

Kuna ile kesi pia ya yule dogo mdogo tu under 14 aliyeuawa kwenye kiti cha umeme. Hakuwa yeye aliyetenda kile kitendo ila sababu ni black na aliyeuawa ni white wala hawakujiuliza wakapitisha 5000V kichwani mwake. Nadhani hili ndo lililoisimamisha U.S zaidi.

Hivyo kuna watu wanakuwa celebrities after deaths. Sio sababu ya umaarufu wao bali vitendo walivyofanyiwa na kupelekea vifo vyao.
 
Ila jamaa nae alilegea sana kwa hyo pale alishindwa kurusha ngumi kwa wale polisi
Police walikua kama watano hivi kuna waliomkandamiza mgongoni mbali ya yule wa goti... Kosa moja asingekubali kufungwa mikono kwa nyuma
 
Police walikua kama watano hivi kuna waliomkandamiza mgongoni mbali ya yule wa goti... Kosa moja asingekubali kufungwa mikono kwa nyuma
Haikuwa kosa... Na ndio maana wale maafande wameshtakiwa.

Na asingeweza pigana nao.

Sema kuna kitu nyuma ya pazia.
 
Mkuu ile video ndo imeamsha hasira za watu ,maana polisi alikusudia kabisa kumwua
Ubaya tunaonekana watu weusi tuna maguvu sana, thats why hata polisi wazungu nao wanatumia nguvu nyingi[emoji2817][emoji2817][emoji2817]

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Black Americans wengi wanajihusisha na gangs,unakuta kila mtaa kuna gang yao ya wahuni na wanafanya drugs na wana silaha ,kuwakamata inahitaji nguvu sometimes
Ubaya tunaonekana watu weusi tuna maguvu sana, thats why hata polisi wazungu nao wanatumia nguvu nyingi[emoji2817][emoji2817][emoji2817]

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Taarifa za wazi zinaonyesha kwamba mwamba huyu aliuliwa na askari wa Marekani , hilo sina shaka nalo hata chembe lakini je mtu huyu aliyeamsha hasira kali dunia nzima alikuwa anajishughulisha na nini?

Natanguliza shukrani.
Naambiwa jamaa alikuwa na mashine.. Halafu muuaji alikuwa na kibamia.. Hapo kabla walikuwa wote ma baunsa kwenye night club moja wakipiga kazi... Demu wa kitasha chakula ya musungu ikamkimbia mwana na kwenda kwa Floyd... Bifu lilianzia hapo... Mengine sifahamu

Jr[emoji769]
 
baada ya ku-google na kutambua kuwa jamaa alikuwa mfiraji yaani siku yangu imeharibika kabisaa, huruma yangu kwake imepotea kabisa na kwa kweli alistahili kuuwa tena kwa kuchomwa moto kama Mwenyezi Mungu alivyo fanya kwa watu wa sodoma naoa gomora!
 
Sawa sawa mpishi wa Mungu, duniani mpo watu mnajiona kabisa kwamba sometimes mnakaa meza moja na Mungu mna-discuss mawili matatu kuhusu dhambi za dunia hii,hivi wewe dhambi huna?

Wazinzi wangapi tunawazika!!! hata wewe hapo unaweza kuta ni mzinzi mmoja umeamua tu ujifariji kumuhukumu mwenzako but tofauti yake na wewe yeye alizini akaingiza pesa wewe unazini unalipa hela.

Pathetic....acha ujinga!
 
Police walikua kama watano hivi kuna waliomkandamiza mgongoni mbali ya yule wa goti... Kosa moja asingekubali kufungwa mikono kwa nyuma
Uzuri wenzetu huwa hawapiki kesi,jamaa kosa lake lilikuwa kutumia hela fake $20 kununua pakit ya sigara hakuna lingine,CCTV cameras zilionyesha mwanzo alikamatwa na askari wawili alivyopigwa pingu aligoma kuingia kwenye gari akitaka pingu zifunguliwe kwanza kwani hilo halikuwa kosa la kufungwa wakang'ang'anizana nae wakafanikiwa kumuingiza kwenye gari ila walikuwa wameshaita backup ndipo alipokuja yule chauvin kusaidia akamdondosha tena chini kutoka ndani ya gari akamgandamiza chini na ndipo video zilizoonekana zilipoanza kuchukuliwa.

Isingekuwa kesi kubwa kama angekuwa hajaingizwa kwenye gari kwa kuonekana mkaidi ila hasira imewaka baada ya kujulikana kwamba kumbe alishaingizwa kwenye gari japo ilikuwa kwa vurugu kisha tena akadondoshwa chini huku police officers waki-act wanaita msaada zaidi kumbe mpango ni kummaliza.

Hata ukiangalia yule mjinga alivyokuwa amejiachia ni kama vile lile goti amelipiga kwenye godoro yaani alijua kabisa anachokifanya ilikuwa planned na hata wale wengine walijua kinachoendelea.
 
Back
Top Bottom