George Floyd (RIP) ni nani, alikuwa anajishughulisha na nini?

George Floyd (RIP) ni nani, alikuwa anajishughulisha na nini?

Miaka ijayo watatoa filamu kuhusu hili tukio
 
Mshana Jr, wewe ni mtu unaye heshimika sana hapa JF; mambo mengine potezea ili kulinda hadhi yako!
Mshana Jr kaelezea vizuri kistaha haswa, wengine tungepitia mbali na link zikiendana na picha
Chauvin na Floyd walikuwa Club moja ya usiku, Chauvin akiwa askari wa nje Floyd akiwa baunsa ndani mara zote walinyang'anyana mabibi, Floyd akapendwa zaidi.
Wakati Floyd akikamatwa kwa kununua sigara kwa hela bandia, aliwekewa bastola akakubali pingu, aliposumbua ndipo walipomuita Chauvin kuongeza nguvu, wakati wakijua ni jamaa yake atamuweza
Kwa hiyo ni cuki na visa vya nyuma, Mshana Jr kadokeza ili waelewe siamini km kajishushia hadhi
 
Pia alikuwa anafanya kazi kwenye kilabu cha usiku pamoja na aliyemminya shingo, inaonekana walikuwa na visa vya muda mrefu,ni watu ambao walikuwa wanafahamiana kwa karibu na mminya shingo.
 
Legend[emoji3]
Screenshot_20200610-003143.jpg
 
Aliwahi kuwa mcheza filamu za ngono lakini aliacha na mpaka mauti yanamkuta alikuwa ni baunsa katika club/ ukumbi wa starehe!

Alikuwa amesimamishwa kazi kutokana na kufungwa shughuli zote kunakotokana na madhara ya corona!

Boss wake wa mwisho kabisa alihojiwa na kusema jamaa alikuwa mtu wa dini na mtu poa sana, hana tatizo na mtu!
Baunsa hovyo kabisa, Imekuwaje amekufa kifo cha mende vile?
 
Baunsa hovyo kabisa, Imekuwaje amekufa kifo cha mende vile?

Askari wale wana 'taser' na pingu halafu wengi, si ulikuwa unamsikia yule askari aliyeua alikuwa anasema gabisa kwamba nilikuambia hutashinda!
 
Back
Top Bottom