Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani humjui Mungu gani aliye ichoma miji ya sodoma na gomora? wee unafikiri amebadilisha msimamo wake dhini ya mashoga na wafiraji? ebu acheni kabisa ku support vitendo vichafu vichafu kama ushoga na uchawi, yaani hawa hawastahili kuishi kwa namna yoyote...Mungu yupi anayefurahia kifo cha mwenye dhambi? Labda god sio God. Ifike mahali tupokee dini zitusaidie sio zitupoteze kabsa
Ushamba mzigo sana
Kesho uta google na kuambiwa mama yako alilala na George Floyd ukatokea wewe mjinga
Taarifa na historia kamili hivi hapa, na kumbuka kwa USA wako so transparent hizo habari za Porn star ungezisikia hata CNN.maana kule porn stars ni matajiri mjinga wewe, jamaa kama akiwa truck driver...
Soma historia yake hapa, nyie gullible ndio mmekuwa target ya waongo na wazushi duniani.
Amka bana
George Floyd - Wikipedia
Acha povu Hilo..aliwahi kucheza porn, au tukuletee video yake kabisa?We mburura wa ngudu uchezaji wa porn wa huyu jamaa unaupata wapi mpaka anakufa alikuwa truck driver ...angekuwa mcheza porn hata kukamatwa angeitwa tu kituoni wale jamaa wana hela ndefu
Acha ujinga wewe
Wikipedia nani kakudanganya ndio source ya kuaminika ya Kila kitu, we jamaa mshamba kweli, hiyo Wikipedia si mtu yoyote anafungua account na kuandika Historia vile anavyotaka? Au hujui Wikipedia inafanyajr kazi?Sio kweli hii
Acha wamuweke mama yako na Membe siku moja ndio utaamini
Nenda wikipedia acha ushamba
Porno mbona kacheza lakini?Sio kumtetea watu wanatoa tuhuma bila prove. Oooh alikuwa mfiraji....sasa alikufira wewe?
Ulijuaje Kama alitubu? Maana Toba Ni Siri ya mtu na Muumba wakeKwani ushawahi sikia amepelekwa Mahakamani kwa kesi ya kufla????? Mbona unakula fwalaa hivyooo... Kucheza porno ilikuwa sehemu ya maisha tu mambo yanakuwa magumu mpaka unaona huna namna lakini kizuri zaidi ailitubu nakuacha lakini wewe hadi leo ukute ndo mzinzi sababu camera hazikuoni
Washa moto utembee tembee sehem zote za Tz ukiwalamba wafiraji na wafirwaji halafu kaa pembeni ukisikilizia na kushuhudia mass ya watz ikiteketea kwa moto.baada ya ku-google na kutambua kuwa jamaa alikuwa mfiraji yaani siku yangu imeharibika kabisaa, huruma yangu kwake imepotea kabisa na kwa kweli alistahili kuuwa tena kwa kuchomwa moto kama Mwenyezi Mungu alivyo fanya kwa watu wa sodoma naoa gomora!
Yaani watu wa namna yako huwa hawakosekani kwenye jamii,yaani Kila kitu wanakihusisha na Freemason....Sasa hapo nkuulize Freemason imeingiajeHuyu jamaa nahisi alikuwa ni gigolo
...
Hata mke wake kwenye ile press yale makucha anaonekana kama vulture...
Damnn... Damnn...
Masons wameichukua damu yao.
Aliyeangamiza sodoma na gomora aliwapa nafasi ya kutubia dhambi zao na wakashindwa, na marehemu alikuwa ameshaacha kazi alokuwa anaifanya ya video za porn iweje kifo chake ufurahie ww? Umemuumba wewe? Aliyemuumba anampenda huenda alishatubu kwann ww uendelee kushikilia past event? By the way wema na waovu wote wanakufa usichokijua ni kuwa pamoja na wema alofanya Yesu ndo mtu pekee alokufa kifo cha aibu ba ukatili zaidi duniani kati ya wema n waovu.Kwani humjui Mungu gani aliye ichoma miji ya sodoma na gomora? wee unafikiri amebadilisha msimamo wake? ebu achene kabisa ku support vitendo vichafu vichafu kama ushoga na uchawi, yaani hawa hawastahili kuishi kwa namna yoyote...
Kwani kwenda huko mbinguni ni lazima? Binadamu wote tunaenda motoni mpaka huyo mungu akupendelee kwenda huko mbinguni.sikia wee fala wa sengerama!
hata umpambe pambe kwa namna gani, ukweli utabikia ukweli tuu huyu 'basha' ako alikuwa mhalifu aliye jificha kwenye mwamvuli wa u-'truck driver & security guards', na upo uwezekano adi ana - uwawa alikuwa bado hajaacha uhalifu, kwani hao polisi walikuwa wamem-'arrest' kwa tuhuma gani? na pia aliwahi kufungwa takriban miaka5 kwa kosa gani? mbona hayo yote hayamo kwenye hicho ki -Wikipedia chako? hiyo 'fentanyl' iliyo kutwa kwenye mwili wake unajua shughuli yake,?waulize mateja utapata jibu ……...msiwe mnadandia dandia msivyo vielewa mtakuja tumbukia bahari, wengine hatujui kupindisha pisha ukweli wee kama mhalifu tutakwambia bila kificho…..
Mpwa unayumba kichizi!!mbona mnamtetea sana huyu mfiraji, alicho kipata kilikuwa stahili kabisa, nyie mlitaka aishi miaka100 alafu atuharibie mabinti??, kuna baadhi ya mijitu inabidi yule mtoa roho awatembelee fasta hata kabla hawajafikisha miaka 50, mijitu kama hii ukiichomoa roho zao hata Mwenyezi Mungu anakubariki
1 kor 6:9-11.ni maneno ya MUNGU wafilaji hawaendi mbinguni.Sawa sawa mpishi wa Mungu, duniani mpo watu mnajiona kabisa kwamba sometimes mnakaa meza moja na Mungu mna-discuss mawili matatu kuhusu dhambi za dunia hii,hivi wewe dhambi huna?
Wazinzi wangapi tunawazika!!! hata wewe hapo unaweza kuta ni mzinzi mmoja umeamua tu ujifariji kumuhukumu mwenzako but tofauti yake na wewe yeye alizini akaingiza pesa wewe unazini unalipa hela.
Pathetic....acha ujinga!
1 kor 6:9-11.ni maneno ya MUNGU wafilaji hawaendi mbinguni.View attachment 1471092
Wewe mshamba uwe unasoma na kufuatilia updates za kimataifa utaja ukweli wa mambo. Usiwe unaandika kwa kusikia hearsays au taarifa uchwara za wabongo. Jiridhishe mwenyewe. Pesa haikua feki kwa mujibu wa source za huko mamtoni. Mengine ya kucheza porn ni kweli, japo hatupaswi kuchonga sana. Hamjui sufferings za watu weusi Marekani na jinsi ilivyo ngumu kufanya maisha.Huyu jamaa hakuwa saint bana, tuache unafiki, ukiachilia mbali kucheza porn, alikuwa pia mtumiaji wa madawa kwani alikutwa nayo kwenye damu, pia alikuwa amekamatwa kwa kutoa hela ya bandia, na alikuwa ameshafungwa jela kabla
Lakini licha ya yote hayo, sio kwamba alistahili kufanyiwa vile, alichofanyiwa Ni unyama, lakini pia tuwe real
Pesa haikuwa fake kwa mujibu wa source zipi?Wewe mshamba uwe unasoma na kufuatilia updates za kimataifa utaja ukweli wa mambo. Usiwe unaandika kwa kusikia hearsays au taarifa uchwara za wabongo. Jiridhishe mwenyewe. Pesa haikua feki kwa mujibu wa source za huko mamtoni. Mengine ya kucheza porn ni kweli, japo hatupaswi kuchonga sana. Hamjui sufferings za watu weusi Marekani na jinsi ilivyo ngumu kufanya maisha.
Hapana ni zile filamu za Panorama Mkuuporn ni zile filamu za ngono?
Yani wewe uko Unarmed ulete vurugu kwa watu armed tena wako wanne utakuwa kichaaIla jamaa nae alilegea sana kwa hyo pale alishindwa kurusha ngumi kwa wale polisi
Iko hivi boss......Kuachana na alikuwa nani na alikuwa anajishughilisha na nini
Hivi alifanya kosa gani hata akajikuta mikononi mwa polisi? Kosa lake sijasikia likitajwa
Na wale polisi, walipata wapi confidence ya kumuua vile hadharani tena barabarani wakati wanafahamu kabisa kuna cctv camera, kuna wapita njia na vitu kama hivyo?