George Floyd (RIP) ni nani, alikuwa anajishughulisha na nini?

Twitter bana..!
Screenshot_20200606-154147.jpg
 
mbona mnamtetea sana huyu mfiraji, alicho kipata kilikuwa stahili kabisa, nyie mlitaka aishi miaka100 alafu atuharibie mabinti??, kuna baadhi ya mijitu inabidi yule mtoa roho awatembelee fasta hata kabla hawajafikisha miaka 50, mijitu kama hii ukiichomoa roho zao hata Mwenyezi Mungu anakubariki
Umeona wapi akifanya ufiraji au ni wivu tu?
 
baada ya ku-google na kutambua kuwa jamaa alikuwa mfiraji yaani siku yangu imeharibika kabisaa, huruma yangu kwake imepotea kabisa na kwa kweli alistahili kuuwa tena kwa kuchomwa moto kama Mwenyezi Mungu alivyo fanya kwa watu wa sodoma naoa gomora!
Huzuni juu yako na kizazi chako,na ukoo wako...
 
mbona mnamtetea sana huyu mfiraji, alicho kipata kilikuwa stahili kabisa, nyie mlitaka aishi miaka100 alafu atuharibie mabinti??, kuna baadhi ya mijitu inabidi yule mtoa roho awatembelee fasta hata kabla hawajafikisha miaka 50, mijitu kama hii ukiichomoa roho zao hata Mwenyezi Mungu anakubariki

Mungu yupi anayefurahia kifo cha mwenye dhambi? Labda god sio God. Ifike mahali tupokee dini zitusaidie sio zitupoteze kabsa
 
Taarifa za wazi zinaonyesha kwamba mwamba huyu aliuliwa na askari wa Marekani , hilo sina shaka nalo hata chembe lakini je mtu huyu aliyeamsha hasira kali dunia nzima alikuwa anajishughulisha na nini?

Natanguliza shukrani.

1.mcheza mpira kwa kipindi kirefu
2. Bounser wa club
3.film moja kaigiza
4.ministry
5.truck driver
 
mbona mnamtetea sana huyu mfiraji, alicho kipata kilikuwa stahili kabisa, nyie mlitaka aishi miaka100 alafu atuharibie mabinti??, kuna baadhi ya mijitu inabidi yule mtoa roho awatembelee fasta hata kabla hawajafikisha miaka 50, mijitu kama hii ukiichomoa roho zao hata Mwenyezi Mungu anakubariki

Mkuu hakuna mahali dunia hii George Floyd kaigiza filam Ya Porn

Taarifa hii unaipata wapi?

Yaani unachuma dhambi live mkuu
 
baada ya ku-google na kutambua kuwa jamaa alikuwa mfiraji yaani siku yangu imeharibika kabisaa, huruma yangu kwake imepotea kabisa na kwa kweli alistahili kuuwa tena kwa kuchomwa moto kama Mwenyezi Mungu alivyo fanya kwa watu wa sodoma naoa gomora!

Ushamba mzigo sana

Kesho uta google na kuambiwa mama yako alilala na George Floyd ukatokea wewe mjinga

Taarifa na historia kamili hivi hapa, na kumbuka kwa USA wako so transparent hizo habari za Porn star ungezisikia hata CNN.maana kule porn stars ni matajiri mjinga wewe, jamaa kama akiwa truck driver...

Soma historia yake hapa, nyie gullible ndio mmekuwa target ya waongo na wazushi duniani.

Amka bana

George Floyd - Wikipedia
 
Back
Top Bottom