Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kwanini mkuuJimbo moja la Hovyo sana
..majungu na upotoshaji si uungwana....Jimbo moja la Hovyo sana
Hapana hawezi....Atamuweka mtoto wake wa Kike au wa kiume?
Wazee wote wajitolee kufanya uamuzi kama huo kutengeneza nafazi za ajira kwa vijanaWaziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi Maalumu George Mkuchika ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Newala Mji mkoani Mtwara ametangaza rasmi kutogombea ubunge katika uchaguzi wa mwezi Oktoba mwaka huu.
View attachment 3279101
Waziri Mkuchika ametangaza uamuzi huo kwenye kikao cha kamati kuu ya jimbo kilichokuwa na lengo la kuzungumzia mafanikio ya jimbo hilo.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mkuchika aliingia bungeni mwaka 2010, amedumu katika nafasi hiyo kwa miaka 20.
Credit: TBC Digital
Kafuata nyayo za Mpango! Ni hekma na busara kubwa sanaWaziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi Maalumu George Mkuchika ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Newala Mji mkoani Mtwara ametangaza rasmi kutogombea ubunge katika uchaguzi wa mwezi Oktoba mwaka huu.
View attachment 3279101
Waziri Mkuchika ametangaza uamuzi huo kwenye kikao cha kamati kuu ya jimbo kilichokuwa na lengo la kuzungumzia mafanikio ya jimbo hilo.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mkuchika aliingia bungeni mwaka 2010, amedumu katika nafasi hiyo kwa miaka 20.
Credit: TBC Digital
Nafasi kwa vijana!Wazee wote wajitolee kufanya uamuzi kama huo kutengeneza nafazi za ajira kwa vijana
Katika nyika fisi hawahurumiani.Nafasi kwa vijana!
Utashangaa utakapoona kapachikwa mzee zaidi yake kwenye nafasi aliyoiachia?
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi Maalumu George Mkuchika ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Newala Mji mkoani Mtwara ametangaza rasmi kutogombea ubunge katika uchaguzi wa mwezi Oktoba mwaka huu.
View attachment 3279101
Waziri Mkuchika ametangaza uamuzi huo kwenye kikao cha kamati kuu ya jimbo kilichokuwa na lengo la kuzungumzia mafanikio ya jimbo hilo.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mkuchika aliingia bungeni mwaka 2010, amedumu katika nafasi hiyo kwa miaka 20.
Credit: TBC Digital
Hesabu ya miaka imekaa vibaya mkuu, rekebisha.Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi Maalumu George Mkuchika ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Newala Mji mkoani Mtwara ametangaza rasmi kutogombea ubunge katika uchaguzi wa mwezi Oktoba mwaka huu.