milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,284
- 8,431
Hao ni vijana wa Nyerere ,ila wanapenda nyony..o mkuu.Kwa uelewa wangu!huyu no mtu mkubwa sana kwenye ulimwengu wa kijasusi was hii nchi!
Yeye,chiligati na co ndio sehem ya wale wenye kuweka wakuu kwenye mamlaka!!
Kikwete ni matunda ya Mzee huyu!!
Naaamini atastaafu kweli japo siamini pia!! Vijana wa Nyerere hao!!
Ukishapata pesa!utafanya Nini mkuu!?zaidi. Ya dam changa kupasha iliyopoa!!?Hao ni vijana wa Nyerere ,ila wanapenda nyony..o mkuu.
Ni shida,kubwa .
Kavaa vazi la wafia dini ila , kukuvulia cha ndani ni nusu saa!Ukishapata pesa!utafanya Nini mkuu!?zaidi. Ya dam changa kupasha iliyopoa!!?
Huyo mwanamama kapasha damu iliyopoa Hadi na yeyr kazeeka!!
Ndivyo tulivyo!!
Ni kweliAlikuwa mkuu wa mkoa Tanga nadhani
Hawa viumbe wakimpata anaemhakikishia future ya kueleweka hasa wenye njaa kama walimu hawa hata ndoa Wanavunja!!!Kavaa vazi la wafia dini ila , kukuvulia cha ndani ni nusu saa!
Aliolewa Tena ndoa takatifu ya wafia dini! Alivyompata huyo kibiyongo mzee,akafuta ndoa,akasema mumewe ni Jambazi!Hawa viumbe wakimpata anaemhakikishia future ya kueleweka hasa wenye njaa kama walimu hawa hata ndoa Wanavunja!!!
Sio kwamba kaondoka Ili iwe rahisi kuokoa jahazi akiwa nje!!?Idara ile ilikuwa haitumii weledi tena
Nenda kaka nenda
Kuna mjinga Fulani F4, alipata 4, akaajiwa ualim.. ,sasa anapewa Jimbo! Kisa, alimzalish. a mtoto. Nchi ni ngumu hii.Sio kwamba kaondoka Ili iwe rahisi kuokoa jahazi akiwa nje!!?
whoever you are,time is mercilessWaziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi Maalumu George Mkuchika ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Newala Mji mkoani Mtwara ametangaza rasmi kutogombea ubunge katika uchaguzi wa mwezi Oktoba mwaka huu.
View attachment 3279101
Waziri Mkuchika ametangaza uamuzi huo kwenye kikao cha kamati kuu ya jimbo kilichokuwa na lengo la kuzungumzia mafanikio ya jimbo hilo.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mkuchika aliingia bungeni mwaka 2010, amedumu katika nafasi hiyo kwa miaka 20.
Credit: TBC Digital
Iondoeni ccm madarakani , mtaishi kama Norway!Sasa zee kama hili bado linahitaji ajira alafu mnawambia vijana waende veta
Uko nyuma ya wakati ...Sasa zee kama hili bado linahitaji ajira alafu mnawambia vijana waende veta
CCM ni imani tukufu....Iondoeni ccm madarakani , mtaishi kama Norway!
Huyu alishamfukuzisha kazi kijana mmoja toka ofisi ya makamu wq raisi. Kisa alikwenda ku verify mali zake kama alivyoandika kwenye fomu ya miiko na maadili ya viongozi. Akakuta kilichoandikwa na uhalisia ni tofauti.Atamuweka mtoto wake wa Kike au wa kiume?