PreGE2025 George Mkuchika atangaza rasmi kutogombea ubunge katika uchaguzi mkuu 2025

PreGE2025 George Mkuchika atangaza rasmi kutogombea ubunge katika uchaguzi mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Huyu alishamfukuzisha kazi kijana mmoja toka ofisi ya makamu wq raisi. Kisa alikwenda ku verify mali zake kama alivyoandika kwenye fomu ya miiko na maadili ya viongozi. Akakuta kilichoandikwa na uhalisia ni tofauti.
Watu hawa sijui huko makanisani na misikitini wanaenda kufanya nn?
Cha kushangaza hawaitwi mbinguni mapema,ili wapishe amani Duniani
 
Cha kushangaza hawaitwi mbinguni mapema,ili wapishe amani Duniani
Ati utasikia kuna ubeti unasema " wabariki viongozi wote" tena tunaimba huku tumeshika moyo! Hata wezi wa pale lumumba nao wabarikiwe.???
 
Huyu mzee ni mstaarabu na mtu wa kujishusha mno. Siku moja pale NMB Ilala nilishangaa kugundua kwenye foleni ya Customer care aliyekuwa ananifuata ni yeye. Nilishtuka mno na kushangaa sana inakuwaje mtu mzito kama huyu kuwa kwenye foleni? Mwenyewe katulia tu na kusubiri zamu yake. Alihudumiwa kawaida kabisa na kuondoka zake. Hata Mzee Wasira mtu poa tu. Nilikutana nae mgahawa wa Best Bite tukasalimiana.
 
Hahaha.............sijaenda kule nina miaka mingi, kwahiyo nimepitwa na mengi kumbe

Mwaka 2015 alibaki kidogo ashindwe na yule jamaa wa Upinzani

Ana bahati Serikali iliingilia kati
 
Lakini mzee wasira bado yupoooo,alisikika mtoto wa Nyerere
 
Huyu mzee ni mstaarabu na mtu wa kujishusha mno. Siku moja pale NMB Ilala nilishangaa kugundua kwenye foleni ya Customer care aliyekuwa ananifuata ni yeye. Nilishtuka mno na kushangaa sana inakuwaje mtu mzito kama huyu kuwa kwenye foleni? Mwenyewe katulia tu na kusubiri zamu yake. Alihudumiwa kawaida kabisa na kuondoka zake. Hata Mzee Wasira mtu poa tu. Nilikutana nae mgahawa wa Best Bite tukasalimiana.
Usikute alikuwa kazini watu wengi kwa sura hawamjui sababu sio mtu wa media
 
Back
Top Bottom