PreGE2025 George Mkuchika atangaza rasmi kutogombea ubunge katika uchaguzi mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mimi nitagomea ubunge ,Jimbo la Newala Mjini! Niombeeni mungu!
Sasa mtanielewa, kutoka ualimu hadi Ukurugenzi, nilipasiwa mpira na nani. Sasa ninataka Jimbo.
 

Attachments

  • VID-20250316-WA0015.mp4
    28.7 MB
Kwa uelewa wangu!huyu no mtu mkubwa sana kwenye ulimwengu wa kijasusi was hii nchi!

Yeye,chiligati na co ndio sehem ya wale wenye kuweka wakuu kwenye mamlaka!!

Kikwete ni matunda ya Mzee huyu!!

Naaamini atastaafu kweli japo siamini pia!! Vijana wa Nyerere hao!!
 
Hao ni vijana wa Nyerere ,ila wanapenda nyony..o mkuu.
Ni shida,kubwa .
 
Hao ni vijana wa Nyerere ,ila wanapenda nyony..o mkuu.
Ni shida,kubwa .
Ukishapata pesa!utafanya Nini mkuu!?zaidi. Ya dam changa kupasha iliyopoa!!?

Huyo mwanamama kapasha damu iliyopoa Hadi na yeyr kazeeka!!

Ndivyo tulivyo!!
 
Ukishapata pesa!utafanya Nini mkuu!?zaidi. Ya dam changa kupasha iliyopoa!!?

Huyo mwanamama kapasha damu iliyopoa Hadi na yeyr kazeeka!!

Ndivyo tulivyo!!
Kavaa vazi la wafia dini ila , kukuvulia cha ndani ni nusu saa!
 
whoever you are,time is merciless
 
Atamuweka mtoto wake wa Kike au wa kiume?
Huyu alishamfukuzisha kazi kijana mmoja toka ofisi ya makamu wq raisi. Kisa alikwenda ku verify mali zake kama alivyoandika kwenye fomu ya miiko na maadili ya viongozi. Akakuta kilichoandikwa na uhalisia ni tofauti.
Watu hawa sijui huko makanisani na misikitini wanaenda kufanya nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…