milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,284
- 8,431
Cha kushangaza hawaitwi mbinguni mapema,ili wapishe amani DunianiHuyu alishamfukuzisha kazi kijana mmoja toka ofisi ya makamu wq raisi. Kisa alikwenda ku verify mali zake kama alivyoandika kwenye fomu ya miiko na maadili ya viongozi. Akakuta kilichoandikwa na uhalisia ni tofauti.
Watu hawa sijui huko makanisani na misikitini wanaenda kufanya nn?
Ati utasikia kuna ubeti unasema " wabariki viongozi wote" tena tunaimba huku tumeshika moyo! Hata wezi wa pale lumumba nao wabarikiwe.???Cha kushangaza hawaitwi mbinguni mapema,ili wapishe amani Duniani
Ila wanakufaga vifo vibaya sanaAti utasikia kuna ubeti unasema " wabariki viongozi wote" tena tunaimba huku tumeshika moyo! Hata wezi wa pale lumumba nao wabarikiwe.???
KabisaIla wanakufaga vifo vibaya sana
The same na Edo pianaam, huwa namu wazia mzee Ahmed Salim, alikuwa autwae ukuu wa nchi na ali upenda.
ila alicho fanyiwa ni umafia to
Hahaha.............sijaenda kule nina miaka mingi, kwahiyo nimepitwa na mengi kumbe100%
Saddist at workJimbo moja la Hovyo sana
Mpuuzi huyo aliyepost huo ujinga..majungu na upotoshaji si uungwana....
Ndio hivyo tunataka welediSio kwamba kaondoka Ili iwe rahisi kuokoa jahazi akiwa nje!!?
Usikute alikuwa kazini watu wengi kwa sura hawamjui sababu sio mtu wa mediaHuyu mzee ni mstaarabu na mtu wa kujishusha mno. Siku moja pale NMB Ilala nilishangaa kugundua kwenye foleni ya Customer care aliyekuwa ananifuata ni yeye. Nilishtuka mno na kushangaa sana inakuwaje mtu mzito kama huyu kuwa kwenye foleni? Mwenyewe katulia tu na kusubiri zamu yake. Alihudumiwa kawaida kabisa na kuondoka zake. Hata Mzee Wasira mtu poa tu. Nilikutana nae mgahawa wa Best Bite tukasalimiana.
Hajapumzika,matatizo ya Moshi manispaa anayahamishia Newala mjini.Old is gold - amefanya vizuri kupumzika
hao na waukose aisee, hawan vision Wala mission yoyote.The same na Edo pia
Japo somo litaendelea kutolewa Kwa akina Mwigulu, Bashe, January and likes maana wao pia ndiyo frontrunners waliopo
Mbobezi ila ajisifi kama yule hayati wa mtama joka la makengezaHuyu Mzee pamoja na kuwa waziri kwa mda mrefu sijawahi kumsikia akiwa na kashfa yeyote ile ya ufisadi
Ana staafu ubunge
View attachment 3279117
Vijana wenyewe njaa tupu, kwahiyo wakipewa hela kidogo watageuka na kuanza kuwaimba hadi nyimbo zao mtaona ni nzuri masikioni mwenu.hao na waukose aisee, hawan vision Wala mission yoyote.
tuta wakuta huko huko, natamani kina bm wengi wange kuwepoVijana wenyewe njaa tupu, kwahiyo wakipewa hela kidogo watageuka na kuanza kuwaimba hadi nyimbo zao mtaona ni nzuri masikioni mwenu.
Mwisho wa Siku tutajikuta tunaongozwa na hao jamaa
Kwasasa akishapitishwa na Chama tu, ujue huyo ndiyetuta wakuta huko huko, natamani kina bm wengi wange kuwepo