George Mpole Anaongoza Kwa Ufungaji Lakini si Tishio!

Lampard ndio alipiga ile penati
 
Mkuu hongera, sijui wewe ulipata akili wapi?, wenzako wana yanga wanaongea upuuzi ila wewe umejipambanua kujua ukweli na kuusema
 
Kati ya thread za ovyo kabisa kuwahi kuandikwa humu jf ni hii. Angalia jinsi hata utopolo wenzako wanavyokushangaa kutokana na huu uchafu uliouandika .[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
Mechi ijayo timu pinzani haitaweka kipa ili Mayele afunge maana kipa anapodaka shuti la Mayele kwa kuruka kama nyani anaonekana amemkamia Mayele.
 
Haya game ijayo tutamwachia afunge hakuna beki wa kumkaba..

Mayele ni tishio kwa style yake ya kushangilia basi na sio kufumania nyavu,

Kwahiyo mnataka asiwe anakabwa na beki yoyote!?

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
 
Kama hawezi kufunga anakuwaje tishio, uwezo wa kawaida sana anao
 
Ni upuuzi kusema mchezaji anakamiwa ni wajibu wa beki kumzuia striker asifunge ,Mayele apambane tu ili afunge magoli ila kuamini kuwa anakamiwa siyo kweli..
 
Mbona anayefunga sana (George Mpole) hachukiwi bali tunampenda sana?
Lawama zote ziende kwa Hinonga maana ndio alionesha mabeki jinsi ilivyo rahisi kumkaba Mawele.
 
Hii round ya pili timu zinapigania nafasi za kimataifa zingine zinapigana zisishuke. Baada ya bahasha kukataliwa round hii Mayele kaonekana kama Yikpe .
Kumbe mayele uwa anatoa bahasha ili afunge magoli? Sisi tusiojua mpira tulikuwa atulijui hili, Kama aliweza kutoa bahasha kwenye ngao ya jamii wale kina wawa na onyango wakamuachia goli kuna siku iyo timu itampiga bei mpaka mmiliki wake maana ni hatari hii kitu
 
Umeanza lini kuamini ushirikina?

Au baada ya kuona mayele hafungi?
 
Beki niwekeeni injury Mayele,atulie nje mpaka ligi iishe
Unaona sasa?kosa lake nini? Hapa ndiyo muone na mkubali kuwa Mayele ana upinzani mkubwa ndani na nje ya uwanja....mabeki wamekua wakimfanyia faul za maksudi kabisa mfano ile Yondani alivyoenda kumkanyaga akiwa hana mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…