Endelea kujifurahishaHii ni ya umeme 😂😂
View attachment 1524738
Tuna line ya meter gauge na standard gauge ambayo imeshafika 200km na haijaanza kutumika,inasubiri mabehewa,karibu ku Google lakin usipate kiungulia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kujifurahishaHii ni ya umeme 😂😂
View attachment 1524738
Hii ni ya umeme [emoji23][emoji23]
View attachment 1524738
Hii haitumii umeme wala diesel, inatumia gravityHii ni ya umeme 😂😂
View attachment 1524738
Mambo ya ajabu sana, au labda zikifika huku zirudi tupu kabisa, au alitakaje sijuiHivi Kenyatta alitaka ndege za KQ zitue JNIA, Zanzibar na KIA kuleta watu then ziondoke na raia wa nchi nyingine isipokuwa watanzania?
Au alipanga kuleta watu then ndege zao zigeuze na mifugo au mizigo? Yaani uniletee ndege kwangu harafu nisipande kurudi zinapotoka? Crazy stuff.
Magufuli ashikilie hapo hapo tu. Kama mbwai iwe tu.
Mkuu, Watanzania wengi wanaoingia nchini Kenya hawana la maana wanaloleta humu bali ni kujaza miji ya Kenya na ombaomba na waganga njaa.Hivi Kenyatta alitaka ndege za KQ zitue JNIA, Zanzibar na KIA kuleta watu then ziondoke na raia wa nchi nyingine isipokuwa watanzania?
Au alipanga kuleta watu then ndege zao zigeuze na mifugo au mizigo? Yaani uniletee ndege kwangu harafu nisipande kurudi zinapotoka? Crazy stuff.
Magufuli ashikilie hapo hapo tu. Kama mbwai iwe tu.
Tutawafukuza uku kwetu tuone mtakavolia njaa............mbwa nyie..........kama mna uchumi mzuri si mkae kwenu mbona mmejazana uku kama mabaa medi wa kimboka by 9tSGR 700km vs SGR 100km
GDP $100b vs GDP $63b
KQ 40 planes vs ATCL 7 planes
Biggest exporter of Coffee &Tea vs Bahatisha minofu ya nyama.
Mnang'ang'ana sana kuipiku Kenya tena Kila siku...anagalia nyuzi nyingi kwa Kenyan section ni Watanzania bad mouthing Kenya. Hamtatupiku mpende msipende.
Sasa wewe mbuzi huoni mkipoteza zaidi[emoji38][emoji38][emoji38],unacheka cheka tu kama malaya kaona bia.mkuu,,, Watanzania wengi wanaoingia nchini Kenya hawana la maana wanaloleta humu bali ni kujaza miji ya Kenya na ombaomba na waganga njaa.
hivyo basi namuunga mkono Rais UK kwa kuwabana vilivyo. heri ndege ibebe ng'ombe tukiwa na uhakika tutakunywa maziwa lakini sio Mtanzania.
komaaeni na kuuza vitunguu na nyanya.
Alamsiki!
Sasa wewe mbuzi huoni mkipoteza zaidi[emoji38][emoji38][emoji38],unacheka cheka tu kama malaya kaona bia.
Kama omba omba pekee ndio wanakuja huko,hiyo sio hasara kwa tz wala mtz,ndio maana hatukujifikiria mara mbili kuwabinya corodani zenu,maana ndege zenu kuingia huku ni zaidi ya favour.
Majinga haya majamaa.Hawa wakenya hawana maarifa
Naked truth.
Mwasiti mbona una poteza mada ya mjadala 😁Hii ni ya umeme 😂😂
View attachment 1524738
Wacha nikupoteze pia 😁Mwasiti mbona una poteza mada ya mjadala 😁
Kitu ambacho Kenya inakiona labda haujakiona,kwa nia njema kabisa, We look at the future through the present, past is almost irrelevant hapa.SGR 700km vs SGR 100km
GDP $100b vs GDP $63b
KQ 40 planes vs ATCL 7 planes
Biggest exporter of Coffee &Tea vs Bahatisha minofu ya nyama.
Mnang'ang'ana sana kuipiku Kenya tena Kila siku...anagalia nyuzi nyingi kwa Kenyan section ni Watanzania bad mouthing Kenya. Hamtatupiku mpende msipende.
Wacha nikupoteze pia [emoji16]
Tetesi: - Hali si shwari SGR muda huu. Wafanyakazi wanadaiwa kuanzisha mgomo
Sina haraka nimengoja miaka 3 SGRa ya umeme ya JPM dar to Moro ikamilike...bado nitangoja 😉Dogo tulia
Viongozi ndio wanapigana Mkuu sio sisi masikini hohe have.wakenya hudhani wakituminya tutawaomba kukaa mezani yaishe bt kinyume chake wamekua wakikutana na mpingo mkali ambao unawafanya wapumulie makalio hadi wanaomba poo...
nabado huo ni mwanzo tu, JMP IS ALIVE.
tatizo la viongozi wa kenya wanatamaa sana, tumeshapata taarifa kua wanatumika na mabeberu dhidi yetu bt kwa kua madhara ya kiuchumi wanayapata wao na si mabeberu ndo maana wamekua wakichomoa mapema kabla hawajaathirika zaidi.Viongozi ndio wanapigana Mkuu sio sisi masikini hohe have.