George Mwangi wa Jubilee Party "amchana" Uhuru Kenyatta kwa uchonganishi

George Mwangi wa Jubilee Party "amchana" Uhuru Kenyatta kwa uchonganishi

Kenyata akishalewa chang'aa lazima aje na jipya la kusisimua!

Pakikucha akili zikirudi anaanza kupiga magoti kwa JPM THE HEAVYWEIGHT BULDOZER.... Oohh ati nilikuwa natania, sikumaanisha vile!

Ni ulevi wa mataputapu tu unamtesa huyu. Wacha abinywe korodani kwanza akili ikae sawa.
 
tatizo la viongozi wa kenya wanatamaa sana, tumeshapata taarifa kua wanatumika na mabeberu dhidi yetu bt kwa kua madhara ya kiuchumi wanayapata wao na si mabeberu ndo maana wamekua wakichomoa mapema kabla hawajaathirika zaidi.
Viongozi wote wako pale kwa maslahi Yao sio yako wewe mwananchi was kawaida. Ukishagundua Hilo sidhani utawahi tena piga foleni kupiga Kura.
 
Viongozi wote wako pale kwa maslahi Yao sio yako wewe mwananchi was kawaida. Ukishagundua Hilo sidhani utawahi tena piga foleni kupiga Kura.
mkuu leo unatema madini tu tofauti na ulivyo siku zote hapa jukwaani, kumbe kuna mda hua unajitoa faham nakua shabiki akati uhalisia wa mambo unaujua?
 
mkuu leo unatema madini tu tofauti na ulivyo siku zote hapa jukwaani, kumbe kuna mda hua unajitoa faham nakua shabiki akati uhalisia wa mambo unaujua?
Kuna wakati was utani na seriousness...Wakenya tumeanza kuelewa jinsi viongozi wetu wana-operate.
 
Hivi Kenyatta alitaka ndege za KQ zitue JNIA, Zanzibar na KIA kuleta watu then ziondoke na raia wa nchi nyingine isipokuwa watanzania?

Au alipanga kuleta watu then ndege zao zigeuze na mifugo au mizigo? Yaani uniletee ndege kwangu harafu nisipande kurudi zinapotoka? Crazy stuff.

Magufuli ashikilie hapo hapo tu. Kama mbwai iwe tu.
Kuna watanzania wanaunga mkono huo mpango. Lawama zote kwa Magufuli hajui diplomasia.
 
Leo wakenya wamekufa watu 13 kwa corona.
Na wagonjwa wapya 500 +.
Mambo ni motoo hukoo,[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Hivi Kenyatta alitaka ndege za KQ zitue JNIA, Zanzibar na KIA kuleta watu then ziondoke na raia wa nchi nyingine isipokuwa watanzania?

Au alipanga kuleta watu then ndege zao zigeuze na mifugo au mizigo? Yaani uniletee ndege kwangu harafu nisipande kurudi zinapotoka? Crazy stuff.

Magufuli ashikilie hapo hapo tu. Kama mbwai iwe tu.
Mtu aliyefanya maamuzi hayo anastahili kupimwa akili. Yaani alitegemea ndege za Kenya ziendelee kuja Tz wakati ndege za Tz hataki zifike Kenya!! Halafu kwa akili yake (inayohitaji kupimwa) alidhani Tz watakubali!! Kama kweli alifikiri Tz itakubali upuuzi huo atakuwa ana matatizo makubwa Sana ya akili!!
Mimi napendekeza kusiwe na mazungumzo kabisa! Kwa Nini mtu afanye maamuzi ya kijinga halafu atupotezee muda wa kufanya majadiliano? Suluhisho wabadili maamuzi na automatically na sisi tutabadili maamuzi. Hapo hskuna Cha kujadiliana!
 
Back
Top Bottom