George Mwangi wa Jubilee Party "amchana" Uhuru Kenyatta kwa uchonganishi

Mambo ya ajabu sana, au labda zikifika huku zirudi tupu kabisa, au alitakaje sijui
 
Mkuu, Watanzania wengi wanaoingia nchini Kenya hawana la maana wanaloleta humu bali ni kujaza miji ya Kenya na ombaomba na waganga njaa.

hivyo basi namuunga mkono Rais UK kwa kuwabana vilivyo. heri ndege ibebe ng'ombe tukiwa na uhakika tutakunywa maziwa lakini sio Mtanzania.

komaaeni na kuuza vitunguu na nyanya.

Alamsiki!
 
Tutawafukuza uku kwetu tuone mtakavolia njaa............mbwa nyie..........kama mna uchumi mzuri si mkae kwenu mbona mmejazana uku kama mabaa medi wa kimboka by 9t
 
Sasa wewe mbuzi huoni mkipoteza zaidi[emoji38][emoji38][emoji38],unacheka cheka tu kama malaya kaona bia.

Kama omba omba pekee ndio wanakuja huko,hiyo sio hasara kwa tz wala mtz,ndio maana hatukujifikiria mara mbili kuwabinya corodani zenu,maana ndege zenu kuingia huku ni zaidi ya favour.
 
Hawa wakenya hawana maarifa
 
Kuna kitu nyuma ya pazia tu Uhuru hataki kukiweka wazi,ila hakuna siri kwa mwanadamu.
 
Kitu ambacho Kenya inakiona labda haujakiona,kwa nia njema kabisa, We look at the future through the present, past is almost irrelevant hapa.
Tz inajivunia uwekezaji mkubwa katika maeneo ambayo jirani aliyatumia vizuri kuwa alipo leo, its obvious akiiangalia kesho, inampa ukakasi.."Clear cut"
 
wakenya hudhani wakituminya tutawaomba kukaa mezani yaishe bt kinyume chake wamekua wakikutana na mpingo mkali ambao unawafanya wapumulie makalio hadi wanaomba poo...

nabado huo ni mwanzo tu, JMP IS ALIVE.
 
wakenya hudhani wakituminya tutawaomba kukaa mezani yaishe bt kinyume chake wamekua wakikutana na mpingo mkali ambao unawafanya wapumulie makalio hadi wanaomba poo...

nabado huo ni mwanzo tu, JMP IS ALIVE.
Viongozi ndio wanapigana Mkuu sio sisi masikini hohe have.
 
Viongozi ndio wanapigana Mkuu sio sisi masikini hohe have.
tatizo la viongozi wa kenya wanatamaa sana, tumeshapata taarifa kua wanatumika na mabeberu dhidi yetu bt kwa kua madhara ya kiuchumi wanayapata wao na si mabeberu ndo maana wamekua wakichomoa mapema kabla hawajaathirika zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…