Viongozi wote wako pale kwa maslahi Yao sio yako wewe mwananchi was kawaida. Ukishagundua Hilo sidhani utawahi tena piga foleni kupiga Kura.tatizo la viongozi wa kenya wanatamaa sana, tumeshapata taarifa kua wanatumika na mabeberu dhidi yetu bt kwa kua madhara ya kiuchumi wanayapata wao na si mabeberu ndo maana wamekua wakichomoa mapema kabla hawajaathirika zaidi.
mkuu leo unatema madini tu tofauti na ulivyo siku zote hapa jukwaani, kumbe kuna mda hua unajitoa faham nakua shabiki akati uhalisia wa mambo unaujua?Viongozi wote wako pale kwa maslahi Yao sio yako wewe mwananchi was kawaida. Ukishagundua Hilo sidhani utawahi tena piga foleni kupiga Kura.
Kuna wakati was utani na seriousness...Wakenya tumeanza kuelewa jinsi viongozi wetu wana-operate.mkuu leo unatema madini tu tofauti na ulivyo siku zote hapa jukwaani, kumbe kuna mda hua unajitoa faham nakua shabiki akati uhalisia wa mambo unaujua?
Kuna watanzania wanaunga mkono huo mpango. Lawama zote kwa Magufuli hajui diplomasia.Hivi Kenyatta alitaka ndege za KQ zitue JNIA, Zanzibar na KIA kuleta watu then ziondoke na raia wa nchi nyingine isipokuwa watanzania?
Au alipanga kuleta watu then ndege zao zigeuze na mifugo au mizigo? Yaani uniletee ndege kwangu harafu nisipande kurudi zinapotoka? Crazy stuff.
Magufuli ashikilie hapo hapo tu. Kama mbwai iwe tu.
hapo nimekuelewa.Kuna wakati was utani na seriousness...Wakenya tumeanza kuelewa jinsi viongozi wetu wana-operate.
Sina haraka nimengoja miaka 3 SGRa ya umeme ya JPM dar to Moro ikamilike...bado nitangoja [emoji6]
Hamjatulipa Koroshow.Tulia dogo acha papara,kijana wa ufipani
Mtu aliyefanya maamuzi hayo anastahili kupimwa akili. Yaani alitegemea ndege za Kenya ziendelee kuja Tz wakati ndege za Tz hataki zifike Kenya!! Halafu kwa akili yake (inayohitaji kupimwa) alidhani Tz watakubali!! Kama kweli alifikiri Tz itakubali upuuzi huo atakuwa ana matatizo makubwa Sana ya akili!!Hivi Kenyatta alitaka ndege za KQ zitue JNIA, Zanzibar na KIA kuleta watu then ziondoke na raia wa nchi nyingine isipokuwa watanzania?
Au alipanga kuleta watu then ndege zao zigeuze na mifugo au mizigo? Yaani uniletee ndege kwangu harafu nisipande kurudi zinapotoka? Crazy stuff.
Magufuli ashikilie hapo hapo tu. Kama mbwai iwe tu.