joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Mkuu joseph1989, niwe mkweli vipi wakati this is from the horses mouth Kilichofanya umeme haukukatika katika enzi za Kalemani na sasa unakatika katika ni kitu kinachoitwa peak demand
Hili la kulamba asali sii kweli, mimi ni mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, hii interview ya JM, ni nimefanya kwa kujitolea 100%. hakuna yeyote aliyelipa hata senti tano yake!, ni part and parcel ya kipindi changu cha "Kwa Maslahi ya Taifa" the compete program ni hii
p
Uwongo brother.