Gerald Hando amuuliza Januari, Dkt. Kalemani aliweza vipi umeme haukukatika?

Gerald Hando amuuliza Januari, Dkt. Kalemani aliweza vipi umeme haukukatika?

Gerald Hando...paid journalist...wanarudia zoezi lile lile yeye na Kipanya walivyofanya kazi maalum Kwa Dr Idrisa..haadi akatolewa...wakaingia watu wa Ngeleha zikapigwa bilioni 500...
Maybe you are Right..., lakini tunaendelea kukosea kama kawaida yetu; Tunaangalia nini kimsesemwa na sio nani kasema.....

Haya mawazo kila muuza juice na mtu anyewasha koroboi yake akiwa nyumbani kwake anajiuliza haya maswali...
 
Hakukuwa na mgao kipindi cha Magu kila mtu anajua huu ukweli kasoro wewe tu. Ila umeme kukatika kama nilivyosema awali ulikuwa unakatika.
Basi haukuwepo hapa nchini ...umeme ulikatika sana tu ila awamu iliyopita haikuruhusu vyombo vya hbr kuripoti madhaifu ya serikali.. acheni uongo bhana

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
Hakukuwa na mgao. Kukatika mara moja moja ni kawaida awamu zote.
Hali ya mvua ilikuwaje?

Tusifanye mambo ya bahati kuwa ni smartness. Hatujawahi kuwa smart kwa jambo lolote wakati wowote. Tumekuwa nchi ya kutegemea bahati.

Kukiwa na ukame, chakula shida, umeme shida. Na hiyo haijalishi nani ni waziri au nani ni Rais.
 
Hajui huyu hasara zilizosababishwa katika kipindi cha uwaziri wa januari, watu wamefilisika biashara zao zimekufa wauza barafu, wauza bucha za samaki, nyama, watu wa saluni za kike na za kiume, watu wa stationary, wauza juice, maji, watu wa kuchomelea mageti na vyuma mbalimbali na shughuli zote zinazotegemea umeme alafu yeye anakuja na stori nyepesi eti kuna mtu yuko nyuma ya hando?
Watu wa stationary, ni watu wa nna gani hao?

Kweli Kiingereza lugha ngumu.
 
Kama ni kweli viwanda vilipunguza uzalishaji kwanini hakukuwa na mfumko mkubwa wa bei za bidhaa kama sasa. maana ukipunguza uzalishaji bidhaa zinapungua sokoni na kusababisha ongezeko la bei
Demand nayo ilikuwa ndigo jwa sababu mzunguko wa fedha ulikuwa chini sana.

Wakati wa Magu, mpaka viwanja na mashamba, bei zilishuka sana.
 
Hapana acheni atoe maoni ..lkn tumkumbushe kuwa hata wkt wa kalemani umeme ulikatika pia...awamu iliyopita ilikuwa marufuku kuandika madhaifu ya serikali...ndo maana walisiojua kitu wanaiona kama ilifanikiwa kumbe lah

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo wakati wa kalemani watz wote tulikuwa vipofu. Acheni ushenzi nyie walamba asali. Hakukuwahi kukatika umeme kwa zaidi ya saa 8.
 
Kalemani umeme ulikuwa unakatika kila siku....lakini mmeshaanza kubadili facts ili agenda yenu ifanye kazi
Ni mjinga tu atakayekubali huu ujinga ulio andika.January aondoke,we new he can't,and he has proved he can't.Aondoke asitupotezee muda.Kuwa naye katika Wizara ya Nishati is a shame.
 
Hali ya mvua ilikuwaje?

Tusifanye mambo ya bahati kuwa ni smartness. Hatujawahi kuwa smart kwa jambo lolote wakati wowote. Tumekuwa nchi ya kutegemea bahati.

Kukiwa na ukame, chakula shida, umeme shida. Na hiyo haijalishi nani ni waziri au nani ni Rais.
Inawezekana wakati huo hakukuwa na ukame, hio ni explanation kwanini hakukuwa na mgao. Sasa wenzio wanasema kulikuwa na mgao ila hawakuruhusiwa kutangaza! Hivi unaweza kufichq mgao? Walijaribu awamu hii mwisho wa siku wakatangaza hali halisi.
 
Kalemani umeme ulikuwa unakatika kila siku....lakini mmeshaanza kubadili facts ili agenda yenu ifanye kazi
YEYE MWENYEWE Makamba kakiri bungeni na hadharani kwamba ni kweli umeme ulikuwa haukatiki enzi za Magu na akatoa sababu zake za kwa nini.
 
Back
Top Bottom