Gerald Hando amuuliza Januari, Dkt. Kalemani aliweza vipi umeme haukukatika?

Uwongo brother.
 
Ila za ndani ni kuwa viwanda vingi viliumizwa kwa wakati huo maana viwanda hutumia umeme mwingi, vikikatiwa sio rahisi kupata kelele kama wananchi wakikatiwa
Mi nafanya kazi kiwandani ebu nitajie kiwanda kipi kilikuw kinakatiwa umeme
 
Gerald Hando...paid journalist...wanarudia zoezi lile lile yeye na Kipanya walivyofanya kazi maalum Kwa Dr Idrisa..haadi akatolewa...wakaingia watu wa Ngeleha zikapigwa bilioni 500.
Shida sio kua paid journalist,

Kaongea uongo?? Tujadili alichoongea ni kweli ama si kweli.?
 
TUmehamia kwenye peak demand tena?? Si mlikua mnataka kuuza umeme nje ya nchi? Peak demand ya nje ya nchi ipo vp nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…