Radhia Sweety
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 4,433
- 1,771
Kamanda Tundu Lissu alimwambia Spika Makinda na viongozi wa CCM kwamba mkitaka tusiwaseme vibaya acheni kufanya mambo ya hovyo hovyo. Hata Cloudz na Jide pia nawashauri waache mambo ya hovyo ili wasisemwe vibaya na watu!
Haya tumemsikia tutaanza kutetea haki za mashoga hapa JF maana wamejazana pale Clouds Media na wanaliwa kama mboga na Gerald Hando ni one of them bila kumsahau Mchovu.Alikuwa akiongea juu ya vita kati ya Ruge na Lady Jay Dee na kushangaa kwanini serikali haifanyi kitu juu ya JF, ambayo inaruhusu watu kutuma posts zinazomchafua boss wake na kituo chake.
wameshindwa wabunge vilaza kama kina mama lwakatare na juma nkamia,atakuwa yeye pimbi tu,mchumia tumbo,mjumbe ndio, asiyeweza hata kujenga hoja,anayeabudu watu badala ya mungu