Gerald Hando apendekeza JF ifungiwe

Gerald Hando apendekeza JF ifungiwe

Status
Not open for further replies.

Radhia Sweety

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2011
Posts
4,433
Reaction score
1,771
Alikuwa akiongea juu ya vita kati ya Ruge na Lady Jay Dee na kushangaa kwanini serikali haifanyi kitu juu ya JF, ambayo inaruhusu watu kutuma posts zinazomchafua boss wake na kituo chake.
 
Kamanda Tundu Lissu alimwambia Spika Makinda na viongozi wa CCM kwamba mkitaka tusiwaseme vibaya acheni kufanya mambo ya hovyo hovyo. Hata Cloudz na Jide pia nawashauri waache mambo ya hovyo ili wasisemwe vibaya na watu!
 
Who is it? Hahshasssss kiingeeza change cha ugoko. Nilishtukia mida mingi kuwa Clouds hawaipendi JF maana kuna siku asubuhi niliskia hao jamaa wanadai kuwaJF sio huru
 
Kama kaongea hayo basi ni mpuuzi, boss wake yeye siyo sisi.
 
Ukirusha jiwe kwenye giza alafu ukaskia mayowe ujue jiwe limemlenga muhusika.

Twitter na Facebook pia zinatumika kumuadabisha Ruge, zifungiwe pia??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hivi hawa jamaa CLOUDS MEDIA wakijatemwa kazi watapatakazi media gani?
 
Kamanda Tundu Lissu alimwambia Spika Makinda na viongozi wa CCM kwamba mkitaka tusiwaseme vibaya acheni kufanya mambo ya hovyo hovyo. Hata Cloudz na Jide pia nawashauri waache mambo ya hovyo ili wasisemwe vibaya na watu!

Jide hafanyi mambo ya hovyo bali anadai haki zake.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mwambieni linaloweza kufungiwa ni akili na fikra zake mwenyewe. JF iko nje ya uwezo wao!
 
wameshindwa wabunge vilaza kama kina mama lwakatare na juma nkamia,atakuwa yeye pimbi tu,mchumia tumbo,mjumbe ndio, asiyeweza hata kujenga hoja,anayeabudu watu badala ya mungu
 
Kama anataka hivyo aende mahakamani kama bosi wake
 
Alikuwa akiongea juu ya vita kati ya Ruge na Lady Jay Dee na kushangaa kwanini serikali haifanyi kitu juu ya JF, ambayo inaruhusu watu kutuma posts zinazomchafua boss wake na kituo chake.
Haya tumemsikia tutaanza kutetea haki za mashoga hapa JF maana wamejazana pale Clouds Media na wanaliwa kama mboga na Gerald Hando ni one of them bila kumsahau Mchovu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom