Gerald Hando apendekeza JF ifungiwe

Status
Not open for further replies.
huyo ni mpumbavu aliyepindukia itafungwa clouds bt not jf. au atakua anazungumzia forum ya nyumbani kwake? very low poor hando
 
wameshindwa wabunge vilaza kama kina mama lwakatare na juma nkamia,atakuwa yeye pimbi tu,mchumia tumbo,mjumbe ndio, asiyeweza hata kujenga hoja,anayeabudu watu badala ya mungu

mbona umewahusisha wote vilaza? bwana atakapo rudi kwa mara ya pili kuja kutufufua ndio anaweza negotiate kuifunga jf.
 
Who is Ruge bytheway...yaani kwa kywa ni boss wake anamuweka mjini wengine hatuna haki ya kumjadili? Ndo shida ya kuwapa insanes airtime!
 
"Radio imejaa mashoga watangazaji wanaliwa kama mboga ninapukuwa na jambo huwaga sifichi Ruge bonge la snitch eti anaanzisha chama wakati yeye ndio chanzo cha mziki wetu kukwama"
 
Last edited by a moderator:
Kuifunga JF sio suluhisho,inaweza kufungulia social website nyingine, na mijadala ikahamia huko..

Issue ni kufanyia kazi mapungufu yanayoainishwa hapa na wachangiaji

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Alikuwa akiongea juu ya vita kati ya Ruge na Lady Jay Dee na kushangaa kwanini serikali haifanyi kitu juu ya JF, ambayo inaruhusu watu kutuma posts zinazomchafua boss wake na kituo chake.

mwache hajielewi huyo mpaka hapo kishaongeza member baaada ya hiyo simple promo..

forza JF
 
uyo ni dogo ni mwehu.....kutwa ni upuuzi
 
Hando anajua kutumikia tumbo, amejisahau kuwa clouds ni kinaongozwa na binadamu leo wapo kesho hawapo.....mtu kama huyu akiwa hana ajira kuishi naye mtaa mmoja ni janga,maana lazima atachonganisha majirani kwa umbea.
 
Reactions: GSW
Unapokua unatumia mdomo kuishi na tumbo kufikiri lazima uwe hivyo!
Sio kisa lake tumbo lina'dictate ubongo!
 
Haya tumemsikia tutaanza kutetea haki za mashoga hapa JF maana wamejazana pale Clouds Media na wanaliwa kama mboga na Gerald Hando ni one of them bila kumsahau Mchovu.

Hivi mnajuaje kama ni mashoga? Mnawalaga nyie kama mboga?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…