Radhia Sweety
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 4,433
- 1,771
- Thread starter
- #21
Mwambieni linaloweza kufungiwa ni akili na fikra zake mwenyewe. JF iko nje ya uwezo wao!
watamwambia wanaofanya naye kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambieni linaloweza kufungiwa ni akili na fikra zake mwenyewe. JF iko nje ya uwezo wao!
Siku nisipoingia Jf huwa najihisi kuumwa.
wameshindwa wabunge vilaza kama kina mama lwakatare na juma nkamia,atakuwa yeye pimbi tu,mchumia tumbo,mjumbe ndio, asiyeweza hata kujenga hoja,anayeabudu watu badala ya mungu
sasa mke wa ruge atasemaje kama gerald kasema hivyo?. mia
Hivi hawa jamaa CLOUDS MEDIA wakijatemwa kazi watapatakazi media gani?
Siku nisipoingia Jf huwa najihisi kuumwa.
me siku nisipoingia fb natamani kulia.
me siku nisipoingia fb natamani kulia.
Kulia au kuliwa?
Alikuwa akiongea juu ya vita kati ya Ruge na Lady Jay Dee na kushangaa kwanini serikali haifanyi kitu juu ya JF, ambayo inaruhusu watu kutuma posts zinazomchafua boss wake na kituo chake.
Msameheni jamani.
Haya tumemsikia tutaanza kutetea haki za mashoga hapa JF maana wamejazana pale Clouds Media na wanaliwa kama mboga na Gerald Hando ni one of them bila kumsahau Mchovu.