Gerald Hando apendekeza JF ifungiwe

Gerald Hando apendekeza JF ifungiwe

Status
Not open for further replies.
Mabwege tu wafanya kazi wa clouds. Wale mashoga si bado wapo?
 
aende zake...ifungwe kwani ipo kwenye mechi ya mpira!!!
 
anae jua wasifu wake kitaaluma na kijamii auweke hapa ili tumpime kama ana hadhi ya kijadiliwa na ma-GT wa jf.otherwise endeleen kumchana mliberali huyo.
 
Gerald Hando mpumbavu sana hutu dogo, often huwa namuheshimu lakin ktk hili dogo kaboronga.
 
Kuna watu wanafanya mzaha na vipaza sauti vya radio!
Wanatapika tu! Wewe Hando huyo bosi wako alishakana uraia wa Marekani?
Hatuna sheria ya uraia wa nchi mbili itabidi tuanzie hapo!
 
Mnawasikiliza wa nini...watu impotent....kamulize kama kuna kitu cha maana anafanya au anasema kusadia hii nchi..kama kipo hata kimoja..
 
Alikuwa akiongea juu ya vita kati ya Ruge na Lady Jay Dee na kushangaa kwanini serikali haifanyi kitu juu ya JF, ambayo inaruhusu watu kutuma posts zinazomchafua boss wake na kituo chake.

Kwani kusema Kusaga ni mnyonyaji wa haki za wasanii ni kuchafua!!
 
mpaka jmos tutakuwa tumewapoteza wapendwa wetu wengi hapa jf kwa kupigwa ban.kisa judith na mwanahamis.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom