JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Mtangazaji mkongwe Gerald Hando amerudishwa EFM rasmi ambapo amekiri kukosea
========
Mtangazaji maarufu wa EFM, Gerald Hando leo amerejea kazini baada ya kukaa benchi miezi mitatu kasoro siku moja. Hando amesema kauli yake aliyoitoa ndio imemletea changamoto na ikaonekana amekiuka 'editorial policy' ya taasisi.
Hando amesema kituo kiliona bora akae pembeni kwa muda kuweka hali bayana baada ya kutokea msuguano.
Hando amesema akiitazama ile kauli aliyoitoa(Kuhusu nchi kukopa sana) anaona ilitoka ndani ya moyo zaidi kuliko kuliko kusimamia hoja ya msingi. Amewataka watangazi wenzie kuzingatia wasije kujikuta kwenye hali kama hiyo na amejifunza.
Pia, soma=> EFM yatangaza kumchukulia hatua Hando, yadai maoni yake kuhusu Serikali kukopa si msimamo wa taasisi