Gerald Hando arudishwa EFM baada ya benchi la miezi mitatu, akiri kukosea kusema 'nchi inakopa sana'

Gerald Hando arudishwa EFM baada ya benchi la miezi mitatu, akiri kukosea kusema 'nchi inakopa sana'

Kwanini mamayo huyu asifutilie mbali hiyo sheria?
.
Ok. Twambie Hando alikiuka sheria gani, kifungu gani?
Sheria ya huduma za habari inakataza media kutoa conclusions unless ibalance story kwa kuhoji mamlaka husika. Yaani mfano Hando hapaswi kusema Rais kakosea kukopa au kapatia yeye anatoa taarifa kama ilivyo msikilizaji ndio aamue based on the facts za pande mbili.

Sasa hii sheria ililetwa Ili watu WASIMKOSOE JPM ila Leo imewageukia inawanyoosha wenyewe kuanzia Polepole Hadi kipindi chake kikafungiwa.
 
Ndio wakome, kipindi JPM anapitisha sheria kali za huduma ya habari na pia takwimu walichekelea wakidhani zitaenda kuwanyoosha kina TWAWEZA na Lissu!! Sasa Leo zimemgeukia yeye na mwenzie Polepole ndio wanaanza kulia Lia.

Jamani tujifunze unapoandaa sheria Leo ujue inaweza tumika kwako pia miaka miwili ijayo.
Wangenuna zisingepita?
 
wangenuna zisingepita?
Wangepinga ila Wanahabari walikuwa hawapo serious wakijua wapo salama sababu tu "Rais ni mzalendo... Hakosei" Sasa akija wanayemuona "dhaifu" wanadhani wakikosoa ni haki kumbe sheria zishakua tuned.

Embu imagine wangeondoa ukomo wa vipindi viwili Leo hii Samia angekua Rais Hadi 2040!! Kuna waTanzania ni mizoga inayotembea haiwazi kuwa sheria zinakuja kuwauma wenyewe.
 
Ndio wakome, kipindi JPM anapitisha sheria kali za huduma ya habari na pia takwimu walichekelea wakidhani zitaenda kuwanyoosha kina TWAWEZA na Lissu!! Sasa Leo zimemgeukia yeye na mwenzie Polepole ndio wanaanza kulia Lia.

Jamani tujifunze unapoandaa sheria Leo ujue inaweza tumika kwako pia miaka miwili ijayo.
Hapo JPM kaingiaje? Shobo mbaya sana
 
-inavyokopa-kopa-ovyo.2051625/']Kuhusu nchi kukopa sana[/URL]) anaona ilitoka ndani ya moyo zaidi kuliko kuliko kusimamia hoja ya msingi.

Hapa ndipo hoja ya msingi ilipo. Na ameweza kufikisha ujumbe kwa hadhira japo najua kampamba sana mtakatifu zakayo na mariam magdalene kwa kula urefu zaidi wa kamba yetu
 
Ilimbidi akili kisa hadharani ndipo kibarua kiendelee
 
Back
Top Bottom