Mtangazaji mkongwe Gerald Hando amerudishwa EFM rasmi ambapo amekiri kukosea
========
Mtangazaji maarufu wa EFM, Gerald Hando leo amerejea kazini baada ya kukaa benchi miezi mitatu kasoro siku moja. Hando amesema kauli yake aliyoitoa ndio imemletea changamoto na ikaonekana amekiuka 'editorial policy' ya taasisi.
Hando amesema kituo kiliona bora akae pembeni kwa muda kuweka hali bayana baada ya kutokea msuguano.
Hando amesema akiitazama ile kauli aliyoitoa(Kuhusu nchi kukopa sana) anaona ilitoka ndani ya moyo zaidi kuliko kuliko kusimamia hoja ya msingi. Amewataka watangazi wenzie kuzingatia wasije kujikuta kwenye hali kama hiyo na amejifunza.
Hakutakiwa kuongea chochote angekaa kimya na kuendelea na topic zingine. Haya mambo ya kuomba radhi wakati hauna makosa ni kumsujudia shetani ambaye amewapanda hawa wendawazimu vichwani.
Mtangazaji maarufu wa EFM, Gerald Hando leo amerejea kazini baada ya kukaa benchi miezi mitatu kasoro siku moja. Hando amesema kauli yake aliyoitoa ndio imemletea changamoto na ikaonekana amekiuka 'editorial policy' ya taasisi.
Hando amesema kituo kiliona bora akae pembeni kwa muda kuweka hali bayana baada ya kutokea msuguano.
Hando amesema akiitazama ile kauli aliyoitoa(Kuhusu nchi kukopa sana) anaona ilitoka ndani ya moyo zaidi kuliko kuliko kusimamia hoja ya msingi. Amewataka watangazi wenzie kuzingatia wasije kujikuta kwenye hali kama hiyo na amejifunza.
Ndio wakome, kipindi JPM anapitisha sheria kali za huduma ya habari na pia takwimu walichekelea wakidhani zitaenda kuwanyoosha kina TWAWEZA na Lissu!! Sasa Leo zimemgeukia yeye na mwenzie Polepole ndio wanaanza kulia Lia.
Jamani tujifunze unapoandaa sheria Leo ujue inaweza tumika kwako pia miaka miwili ijayo.

Kwani Hando aliwajibishwa na mamlaka au ni boss wake alijistukia akamuwajibisha? Ila pia Hando ni mwanaharakati wa chadema asiejiweka wazi toka kitambo na hakuna popote aliwahi kuwa fan wa Jiwe