The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Kwa uroho wa madaraka ataendelea pale alipoishia Jiwe.Akiongea asubuhi kwenye uchambuzi wa gazeti la raia mwema bwana hando amesema ndani ya ccm uchaguzi mkuu 2020 kulikuwa na mizengwe mingi sana ndani ya ccm katika kuwapitisha madiwani na wabunge jambo linalowafanya wabunge na madiwani
wengi sana wa ccm kuangukia pua kwenye uchaguzi wa mwakani.
anapotosha wananchi na kuwahadaa wapinzani 🐒Akiongea asubuhi kwenye uchambuzi wa gazeti la Raia Mwema bwana Hando amesema ndani ya CCM uchaguzi mkuu 2020 kulikuwa na mizengwe mingi sana katika kuwapitisha madiwani na wabunge jambo linalowafanya wabunge na madiwani wengi sana wa CCM kuangukia pua kwenye uchaguzi wa mwakani.
jamaa mmoja hivi alikuwaga mtangazaji wa mawingu FmJerald hando ni nani wakuu?
walimfanyia ubadhilifu 😀Wajumbe walimfanyia figisu ndugu Pascal Mayalla akapata kura moja😔
Mkuu Cannabis , msema kweli mpenzi wa Mungu, ile kura moja mimi niliyopata, haikusababishwa na kupigwa zengwe, bali nilivuna nilichokipanda. Na nilikubali matokeo kwa roho safi Uchaguzi 2020 - Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!Wajumbe walimfanyia figisu ndugu Pascal Mayalla akapata kura moja😔
Anawahadaaa kivipi kwani hakuna ukweli kwenye Hilo!?anapotosha wananchi na kuwahadaa wapinzani 🐒
Itakua ni bilionea mmoja matata ndio maana haogopi chura...😂Jerald hando ni nani wakuu?
Ninachompendea paskali Huwa ni msema ukweli, labda ndio maana ccm hawampi teuzi yoyote, ccm wanapenda watu waongo waongoMkuu Cannabis , msema kweli mpenzi wa Mungu, ile kura moja mimi niliyopata, haikusababishwa na kupigwa zengwe, bali nilivuna nilichokipanda. Na nilikubali matokeo kwa roho safi Uchaguzi 2020 - Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!
P
Mkuu Cannabis , msema kweli mpenzi wa Mungu, ile kura moja mimi niliyopata, haikusababishwa na kupigwa zengwe, bali nilivuna nilichokipanda. Na nilikubali matokeo kwa roho safi Uchaguzi 2020 - Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!
P
Inategemeana....huwa ukimsoma vizuri unamgundua. Mama ana upiga mwingi sana.Ninachompendea paskali Huwa ni msema ukweli, labda ndio maana ccm hawampi teuzi yoyote, ccm wanapenda watu waongo waongo
Mwashambwa atakubishia na hoja u chwara!Akiongea asubuhi kwenye uchambuzi wa gazeti la Raia Mwema bwana Hando amesema ndani ya CCM uchaguzi mkuu 2020 kulikuwa na mizengwe mingi sana katika kuwapitisha madiwani na wabunge jambo linalowafanya wabunge na madiwani wengi sana wa CCM kuangukia pua kwenye uchaguzi wa mwakani.
Wanaopiga kura za maoni za maoni ni wajumbe, tulikuwa wagombea 176, walipata kura ni 55, kuna wagombea 125 wameambulia kura sifuri, hivyo kura yangu moja ina thamani sana!.Na walikuonea huruma ungeweza kuta hata ungepata kura negative 100. Ile moja ina maana hata mkeo hakukupigia?watoto na rafiki zako?na waliokushawishi ugombee? Binadamu siyo wema
nikikumbuka hii huwa nacheka sanaWajumbe walimfanyia figisu ndugu Pascal Mayalla akapata kura moja[emoji17]
Ni kweli Tanzania tunapenda sana siasa za kishabiki na kuufumbia macho ukweli!Mwashambwa atakubishia na hoja u chwara!
Ni kweli anaupiga mwingi ila kiukweli maza ni ... Naomba nisimalizie.Inategemeana....huwa ukimsoma vizuri unamgundua. Mama ana upiga mwingi sana.
ni muhimu kuhamasisha na kujiandaa vyema na uchaguzi wa Nov 27,2024, watashindwa na atawaambia tena vivyo hivyo 2029 huyo muungwana?🐒Anawahadaaa kivipi kwani hakuna ukweli kwenye Hilo!?
Yeye hakutaka kusema hivyo kwa ajili ya wapinzani lakini alikuwa akieelezea uhalisia uliokuwepo siku hizo maana hata hiyo kuangukia pua haimaanishi kwamba lazima wapinzani washinde ila ni tahadhari kwa hao waliopita kwa mbeleko kwamba uwezikano wao kurudi ni mdogo.ni muhimu kuhamasisha na kujiandaa vyema na uchaguzi wa Nov 27,2024, watashindwa na atawaambia tena vivyo hivyo 2029 huyo muungwana?🐒