Pre GE2025 Gerald Hando: Uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 ulikuwa na mizengwe mingi sana ndani ya CCM kwenyewe

Pre GE2025 Gerald Hando: Uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 ulikuwa na mizengwe mingi sana ndani ya CCM kwenyewe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
 
Akiongea asubuhi kwenye uchambuzi wa gazeti la Raia Mwema bwana Hando amesema ndani ya CCM uchaguzi mkuu 2020 kulikuwa na mizengwe mingi sana katika kuwapitisha madiwani na wabunge jambo linalowafanya wabunge na madiwani wengi sana wa CCM kuangukia pua kwenye uchaguzi wa mwakani.
Anazungumza kana kwamba hakumbuki historia. Labda angetuambia katika chaguzi za kabla ay 2020 ni ipi ambayo ndani ya CCM hakukuwa na mizengwe... ili tulinganishe.
 
Yes
we ni zombie ndio maana hurusiwi 🐒
Nimecheka kwa nguvu vibaya. Uchaguzi huo ni wa mazombie, hivyo endeleeni na waliobaki kuamini hayo maigizo yaitwayo uchaguzi.
 
Back
Top Bottom