Sana aiseee.... Bila shaka aliyekupigia ni jamaa yako wakaribu sana.Wanaopiga kura za maoni za maoni ni wajumbe, tulikuwa wagombea 176, walipata kura ni 55, kuna wagombea 125 wameambulia kura sifuri, hivyo kura yangu moja ina thamani sana!.
P
Maza ni maza. Mitano tena. Anaupiga mwingi. Maza ni Maza bonge la Maza.Ni kweli anaupiga mwingi ila kiukweli maza ni ... Naomba nisimalizie.
P
Hapana mkuu, kuna zengwe walipiga.... kwenye uchambuzi wa sheria na masuala ya kitaifa kwenye wale uliokuwa unashindana nao hakuna hata mmoja anayefikia nusu ya uwezo wako , kuna zengwe lilipigwa ndio maana hata kamati kuu bado ilikuja na jina lingine mfukoni...hata hivyo nasikia wana kawe wametelekezwa na mbunge waoMkuu Cannabis , msema kweli mpenzi wa Mungu, ile kura moja mimi niliyopata, haikusababishwa na kupigwa zengwe, bali nilivuna nilichokipanda. Na nilikubali matokeo kwa roho safi Uchaguzi 2020 - Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!
P
Ninachompendea paskali Huwa ni msema ukweli, labda ndio maana ccm hawampi teuzi yoyote, ccm wanapenda watu waongo waongo
kuna watu hawakuelewi, ccm kukuachia kura yako ni bahati kubwa, na walikuheshimu sana.Wanaopiga kura za maoni za maoni ni wajumbe, tulikuwa wagombea 176, walipata kura ni 55, kuna wagombea 125 wameambulia kura sifuri, hivyo kura yangu moja ina thamani sana!.
P
Ni chapombe mmoja hapo Wasafi FMJerald hando ni nani wakuu?
Malizia kama kesho hatujakukuta kwenye sandarusi hapo mjini Ununio.Ni kweli anaupiga mwingi ila kiukweli maza ni ... Naomba nisimalizie.
P
Hana tuu Bahati, mbona kina Lukasi Mwashambwa na tlatlaah wapo humu kupamba teuzi zinawapita kila uchwao!Ninachompendea paskali Huwa ni msema ukweli, labda ndio maana ccm hawampi teuzi yoyote, ccm wanapenda watu waongo waongo
Ni mdogo sana,kawe,Siha, Arusha mjini,Masasi,Tanga mjini, Kilimanjaro yote, Mbeya,Dar nk!Yeye hakutaka kusema hivyo kwa ajili ya wapinzani lakini alikuwa akieelezea uhalisia uliokuwepo siku hizo maana hata hiyo kuangukia pua haimaanishi kwamba lazima wapinzani washinde ila ni tahadhari kwa hao waliopita kwa mbeleko kwamba uwezikano wao kurudi ni mdogo.
Hao vidampa wawili uliotaja hawawezi kupata teuzi kwani uchawa wao umepitiliza wanaandika pumba na utoto mwingi sana.Hana tuu Bahati, mbona kina Lukasi Mwashambwa na tlatlaah wapo humu kupamba teuzi zinawapita kila uchwao!
Wajimumbe wote wakatoswa.......Steve Nyerere alilia machozi.Akiongea asubuhi kwenye uchambuzi wa gazeti la Raia Mwema bwana Hando amesema ndani ya CCM uchaguzi mkuu 2020 kulikuwa na mizengwe mingi sana katika kuwapitisha madiwani na wabunge jambo linalowafanya wabunge na madiwani wengi sana wa CCM kuangukia pua kwenye uchaguzi wa mwakani.
Huto Tlalaatlaa hamna kitu. Achana naye...ukweli unamuumaYeye hakutaka kusema hivyo kwa ajili ya wapinzani lakini alikuwa akieelezea uhalisia uliokuwepo siku hizo maana hata hiyo kuangukia pua haimaanishi kwamba lazima wapinzani washinde ila ni tahadhari kwa hao waliopita kwa mbeleko kwamba uwezikano wao kurudi ni mdogo.
HahahaNi kweli Tanzania tunapenda sana siasa za kishabiki na kuufumbia macho ukweli!
Pascal aliibuka na kura moja tu aliyojipigiaWanaopiga kura za maoni za maoni ni wajumbe, tulikuwa wagombea 176, walipata kura ni 55, kuna wagombea 125 wameambulia kura sifuri, hivyo kura yangu moja ina thamani sana!.
P
Kama nae ni mjumbe, Itakuwa yake mwenyewe!Sana aiseee.... Bila shaka aliyekupigia ni jamaa yako wakaribu sana.
We mtu gani anampigia makofi hadi Bashite!Hao vidampa wawili uliotaja hawawezi kupata teuzi kwani uchawa wao umepitiliza wanaandika pumba na utoto mwingi sana.
mpenzi wa Mungu.Wanaopiga kura za maoni za maoni ni wajumbe, tulikuwa wagombea 176, walipata kura ni 55, kuna wagombea 125 wameambulia kura sifuri, hivyo kura yangu moja ina thamani sana!.
P
Kura moja alijipigia mwenyewe bila shaka ๐๐Wajumbe walimfanyia figisu ndugu Pascal Mayalla akapata kura moja๐
Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.ni muhimu kuhamasisha na kujiandaa vyema na uchaguzi wa Nov 27,2024, watashindwa na atawaambia tena vivyo hivyo 2029 huyo muungwana?๐