Gerald Ibrahim, shujaa aliyetekwa na kupotezwa kwa kosa la kuisaidia jeshi la Polisi

Kwa sasa namna pekee ya kuwa salama, hakikisha unakuwa chawa wa kusifu na kutukuza.
 
Inasikitisha sana!
 
si kiherehere chake sasa kosa la nani hapo ? tamaa ya hela unaacha kufanya kazi halali unahangaikia zawadi matokeo yake ni hayo
 
Inamaana mzunguko woite huo bado hajaona Redflag?
Gerlad alizikataa fedha hizo na kikao kiliisha bila muafaka wowote, mara ya pili akaitwa tena kwenye kikao cha Ulinzi na Usalama Mkoani, ikaonekana wameamua wamlipe milioni sita, pia Gerald hakukubali na kikao kilimalizika bila muafaka,
 
Hili jeshi la police limeoza sanaa linanuka uvundo mbaya sana.

Na haya yote ni matokeo ya UCCM.
Nashindwa kuamini hii taarifa kwamba Kamati nzima ya Mkoa ilishindwa kutekeleza agizo la Mh Rais la sh 15M tu? Ina maana hawamwogopi hata Rais?
 
Gerlad ailivutwa pembeni akapigwa sana kabla kuja kusaidiwa na bodigadi wa Raisi ambaye alikuja kuzuia wasiendelee kumpiga
Kumbe walimfumua hapo bapo mbele ya mwamba JPM? Ila Gerald naye alikuwa mtata sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…