Gerald Ibrahim, shujaa aliyetekwa na kupotezwa kwa kosa la kuisaidia jeshi la Polisi

Ifike wakati sasa raia tujidhatiti. Tunapoona raia mwenzetu anachukuliwa mazingira tatanishi ni swala la kupiga nduru tukusanyike mawe, magongo, fimbo na mapanga vitumike kutengeneza mfumo wa haki na adabu.

Hawa tunaowaita watekaji sio superhumans ni binadamu tu kama sisi na wanaweza kuvuja damu na kufa vizuri tu. Na mimi nashauri wapatiwe kipigo kitakatifu na kuchomwa moto kama vile tunavyowaadhibu wezi na majambazi.

Tukifanya hivi mara 10 hicho kikosi maalumu cha watekaji tutakisikia kwenye redio tu.
 
Uzalendo
Kuna wimbo wa Dr Remy kipande kimoja anasema "wema kumanyoko"
wema kumanyoko"😃😂😂😂
 
Wema wake umemponza mpaka kapoteza maisha .Hayo ndio madhara ya kuisaidia Polisi ukijifanya kuisaidia Polisi mwisho wake wanakugeuka na unadhurika.
 
Funzo...kwa hali ilivyo sasa ni bora kuipambania familia yako, si kuisaidia serikali
Hata yeye alikuwa anaipambania familia yake. Funzo: Raia wote tunatakiwa kuungana na kudai mabadiliko makubwa ya mfumo wa uongozi wa nchi ili mambo kama haya yasijirudiye tena. Ukiamua kuipambambania familia yako tu haiasaidii kwani kuna siku litakupata la kukupata. Kumbuka huu uozo ni wa viongozi kwa hiyo hata kwenye harakati zako za kuipambania familia yako utakutana nao.
 
Nachukia siasa,nawachukia wanasiasa,nachukia kuji associate na jambo lolote lenye uhusiano na siasa...endelea kuipambania nchi,utaitwa mzalendo siku moja ukiwa kaburini
 
Ndg zangu nasisitiza fanya kazi zako ,kama unafanya biashara fanya ,kazi fanya ,usijihusishe kwenye kazi yoyote isiyokuhusu ,usiandamane maana ukifa wengine tutaendelea kuishi na tutamsingizia Mungu kakuchukua na RIP na masikitiko nyuma ya keyboard
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…