Gerald Ibrahim, shujaa aliyetekwa na kupotezwa kwa kosa la kuisaidia jeshi la Polisi

Ndio maana hadi yule mtoto wa miaka 20 alikua ana hamasisha wenzie kuwachoma moto malaika wa shetani wanovaa nguo za kaki, yani milioni chache namna hiyo ndio za kumsumbua na kumfanyia unyama mtu kiasi hicho kweli 😯 kujifanya mzalendo Tanzania ni kosa kama kosa lingine tuu
 
Uzalendo
Kuna wimbo wa Dr Remy kipande kimoja anasema "wema kumanyoko"
wema kumanyoko"
KUBABAKE HILI NI FUNDISHO, SERIKALI SIO KITU CHA KUAMINI.
Askari wanapiga fedha za askari mwenzao?🤔

IMEANDIKWA : Nao askari wakamwuliza, “Na sisi tufanye nini?” Naye akawajibu, “Msichukue vitu vya mtu yeyote kwa nguvu wala kumshtaki yeyote kwa uongo. Toshekeni na mishahara yenu.”
LUKA 3: 14
 
Mwisho wa usnitch ni mbaya sana. Huyo alichagua kuwa kibaraka, kalipwa alichostahili...ngoja niishie hapo.
 
Ila katika kutoa taarifa kuwasaidoa POLICE we need to be attentive.

Kuna wakati watu ambao hawana ufahamu mzuri Sana anaweza kumkamata MTU ambaye ni innocent

Na Kama tunavyojua kuna WATU ambao wakifa kutokana na kuwasingizia hii huwa ina back fire kwa wahusika wote.


Japo unaweza kuamua kutoa taarifa Ila taarifa Kama sio sahihi unaweza kuwa umeua destiny ya MTU pasipokujua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…