Gerald Ibrahim, shujaa aliyetekwa na kupotezwa kwa kosa la kuisaidia jeshi la Polisi

Miaka kadhaa nyuma nilishuhudia mzee mmoja akitaka kuporwa simu na vibaka. Nilikuwa nyuma ya yule mzee na hao vibaka, na simu ya mzee ilikuwa inaning'inia.
Niliwapita wote nikamuonya mzee kuwa simu yake inataka kuanguka.

Mzee alitoa shukrani zake na kwenda hatua chache kwa wakala wa pesa, kwa bahati nzuri ama mbaya na mimi nilikuwa nakwenda duka la solar lililo karibu na wakala.

Ikiwa sina ninalolijua ghafla yule mzee alianza kusema nimemuibia, kuwa pamoja na ile simu alikuwa na pesa taslim kama laki 4, lakini sasa pesa hazioni. Ile tafrani ilikuwa kubwa kiasi cha polisi kuja.

Ilibidi kwenda Msimbazi police. Nikaelezea kila nilicholezea halkadhalika na mzee akasema yake.
Niliulizwa nilikuwa na shilingi ngapi mfukoni, ilikuwa nina milioni kamili kutoka bank na pesa loose kama elfu 50. Na uzuri zaidi ile milioni ilikuwa ni noti mpya zilizokuwa kwenye serial number ya kufuatana, hivyo ikaamuliwa kuwa sio pesa ya mzee.

Hayo yote yalipokwisha na nilipotaka kuondoka nikaambiwa niweke vitu vyangu vyote pembeni ikiwemo simu na zile pesa. Kuuliza kama nimefunguliwa shtaka lolote, nikaambiwa ile kesi ipo kwenye file hivyo kwa sasa ni mshtakiwa na kila nilichinacho ni ushahidi mpaka pale wale vibaka ninaosema wakamatwe.

Nikaona hapa nikizembea itakula kwangu. Nashakuru Mungu nilipata ujasiri wa kuwa mkaidi na na kuanza kuzua ghasia pale. Bahati nzuri RPC (Kamanda wa Polisi Mkoa) aliingia na kukuta ile tafrani na kuhoji kinachoendelea. Polisi aliekuwq anahoji akadakia mimi ni kibaka, ila kabla sijajitetea yule yule mzee aliesema nimemuibia akadakia kwa nguvu kuwa mimi si kibaka.

Ikabidi ile story ihadithiwe upya mpaka kufikia kupiga kwangu kelele. Yule mpumbavu Polisi ilikuwa keshaweka milioni yangu mfukoni, kwa aibu aliitoa kwa amri ya RPC na kesi ikaishia hapo.

Niliapa maishani mwangu, sitajifanya msamaria mwema hata mtu akiwa anauliwa hapo, sitoamini Polisi yeyote hata akiwa friendly vipi.
 
We need to be careful ✅
we need to be care ❌
 
Hata hivyo---- afadhali wamemwadabisha mapema, nina experience na watu wa aina ya huyu Ibrahim wanaojifanyaga kuwa nao ni sehemu ya serikali, hawa ndiyo huwa wanatumwa kuwakandamiza wenzao, hawa ndiyo huwa wanapewa assignment ya kuwafuatilia wale raia wema ambao ccm inawaona kama threat kwao ili watekwe na kudhuriwa ama kuuliwa kabisa, hawa ndiyo wakina maulid kitenge wa huku mitaani, mawakala wa shetani, akina masudi wa dodoma na Mojaa wa arusha, siku ukisikia kitenge amefanyiwa kama alivyofanyiwa huyu ibrahim inapaswa kama wazalendo wa kweli tufurahi na kushangilia badala ya kulaumu, maadui zetu wakiuana wenyewe iwe furaha kwetu.
 
Bring back Gerald (serikali)
 
Nampongeza kwa uzalendo alionao, lakin kosa alilofanya ni kushirikiana na watu wanaitwa polisi. Hao jamaa wlkukugeuka ni dk 0, dhulumati, wala rushwa wakubwa

Sitodhangaa wamefanya hivyo ili kufunika madudu yao, imagine mtu kama huyu mzalenfo na haya ndio malipo

Pole kwa ndugu na familia
 
Watu wa Magharibi ni wajanja sana,wanatengeneza mazingira tuzichape kavukavu ili waje kuchukua uranium,hakuna watu wasanaii kama wa Magharibi,kwa ufupi hata lile sakata la Lisu ni janja nyani kututafuta hasira,kwa namna nyingine huu ni usanii wa level ya 5G.Congo waliingia wazima wazima Leo hii wako wapi, wanakula bastola na makombora huku dhahabu inabebwa na private jet.
 
Gerald issue yake ilikuwa ya usalama wa Taifa. Ni heri angetulia tu ipo siku angekumbukwa kama Mordecai wa kwenye Biblia.
Million 15 ni pesa ndogo mbona kwanini wameshindwa kumlipa ?
Kama zimeliwa, ni nani amekula?
Gerald ana kiburi , alipoweza kuwasiliana na ofisi ya PM anawadharau viongozi wa mkoa na wilaya alishindwa kujua kuwa PM anatawala kwa msaada wao. Wako kitu kimoja.
 
Hivi mnajua Bon yai ni mtakatifu ajaye? Abarikiwe sana!!
 
Kaka our intelligence ipo kwa ajiri ya kuangakia nani ana kosoa serikali kuu
 
Uzalendo
Kuna wimbo wa Dr Remy kipande kimoja anasema "wema kumanyoko"
wema kumanyoko"
KUBABAKE HILI NI FUNDISHO, SERIKALI SIO KITU CHA KUAMINI.
Askari wanapiga fedha za askari mwenzao?🤔

IMEANDIKWA : Nao askari wakamwuliza, “Na sisi tufanye nini?” Naye akawajibu, “Msichukue vitu vya mtu yeyote kwa nguvu wala kumshtaki yeyote kwa uongo. Toshekeni na mishahara yenu.”
LUKA 3: 14
Ikabidi ile story ihadithiwe upya mpaka kufikia kupiga kwangu kelele. Yule mpumbavu Polisi ilikuwa keshaweka milioni yangu mfukoni, kwa aibu aliitoa kwa amri ya RPC na kesi ikaishia hapo.
 
I don't agree with this situation

Ila ninajiuliza maswali Kama 3

Alikuwa anafanya kazi na police je alisukumwa na nini kati ya haya ?

-Pesa
-Uzalendo

Kama ni PESA je anaona Kazi yake iliyotukuka ni yeye kulipwa mil 15 tu ?

Kama ni uzalendo anahisi yeye kuhangaika kudai pesa huku na kule ni sahihi .


Unapoamua kuwa sehemu ya haki ni vizuri ukajitenga na watu ambao wanaiminya hiyo HAKI.


Pole sana kwa FAMILIYA.
 
Ila mwamba alikua snitch ..snitches get stitches
 
Haki nyingine ni ya kuiacha, kwa mzunguko wote huo thamani ya hiyo pesa imeisha tayari,familia iliache hili lipite.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…