Gerald Ibrahim, shujaa aliyetekwa na kupotezwa kwa kosa la kuisaidia jeshi la Polisi

Kuna siku utaelewa tu. Nina uhakika. Na utajiona mjinga kweli kweli. Na ukiwa na bahati mbaya utaelewa baada ya wewe au mtu wa familia yako kuumia au hata kuuawa kwa sababu ya uongozi mbovu.
 
Kuna siku utaelewa tu. Nina uhakika. Na utajiona mjinga kweli kweli. Na ukiwa na bahati mbaya utaelewa baada ya wewe au mtu wa familia yako kuumia au hata kuuawa kwa sababu ya uongozi mbovu.
Wewe ndio mjinga na haujielewei ungekua unajielewa usingeisifia siasa maana siasa ndio Kuna wizi siasa ndio Kuna mauaji siasa ndio Kuna kutekana siasa ndio Kuna rushwa za Kila aina hivi Mimi niache kuishi maisha yangu niangaike na siasa kitu ambacho ni kazi za wengine Mimi kazi yangu ni kutafuta pesa na kuishi nchi yeyote duniani yaani nife nizikwe nioze Ili wajinga kama nyie muishi vizuri pambaneni na hali zenu
 
a
hivi huwa wanajizima data hawa watu au?
 
Walio keti kwenye kamati ya ulinzi wote ni njaa tu kumbe..me huwa nazani wana pesa
Kuwa makini na hao watu,
Hupenda kukuweka karibu kuchukua taarifa zako ..kisha wakikuamulia ni shida tupu ..

Hao jamaa wanapenda pesa kuliko suala LA kutenda haki na kufuata sheria ...

Yaani kwanza usipende mazoea na hao watu ... Kuna watu wamefungwa kwa kutengenezewa ushahidi hewa na hao watu wanaojiita polisi ..
 
Nikikumbuka tu sakata la ramadhan ntunze yule mfanyabiashara wa kigoma
Yaani unazidi kuchoka,ngazi zote
Amepita lakini olaaaaa
Huku chini haki hakuna .....
Mshana Jr

Ova
Dah GT Mrangi yani 15 M madaf wamemzungusha jamaa na baadaye kumuua.

Bora kubaki tu huku Christiania na kuendelea kuvuta bangi. 🤣
 
Hakuna mamlaka naiogopa hata kushirikisha masaibu yangu kama polisi
 
Boniface Jacob huyu jamaa kazi anayoifanya watanzania wanaichukulia poa ila ni kubwa mno msisubiri mpaka afe ndio mumpe maua yake.
 
Uzalendo
Kuna wimbo wa Dr Remy kipande kimoja anasema "wema kumanyoko"
wema kumanyoko"
KUBABAKE HILI NI FUNDISHO, SERIKALI SIO KITU CHA KUAMINI.
Askari wanapiga fedha za askari mwenzao?🤔

IMEANDIKWA : Nao askari wakamwuliza, “Na sisi tufanye nini?” Naye akawajibu, “Msichukue vitu vya mtu yeyote kwa nguvu wala kumshtaki yeyote kwa uongo. Toshekeni na mishahara yenu.”
LUKA 3: 14
Ikabidi ile story ihadithiwe upya mpaka kufikia kupiga kwangu kelele. Yule mpumbavu Polisi ilikuwa keshaweka milioni yangu mfukoni, kwa aibu aliitoa kwa amri ya RPC na kesi ikaishia hapo.
Haki nyingine ni ya kuiacha, kwa mzunguko wote huo thamani ya hiyo pesa imeisha tayari,familia iliache hili lipite.

Nikikumbuka tu sakata la ramadhan ntunze yule mfanyabiashara wa kigoma
Yaani unazidi kuchoka,ngazi zote
Amepita lakini olaaaaa
Huku chini haki hakuna .....
Mshana Jr

Ova
Mwisho wa siku wakaishia kummaliza🥱
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…