Gerald Ibrahim, shujaa aliyetekwa na kupotezwa kwa kosa la kuisaidia jeshi la Polisi

Damu nyinginenisiyo nanhatia kwenye mikomo ya Wambura na Hangaya.

Mpakq tukishamalizwa wote ndo tutazinduka
 
Hayo yote yanatokea Rais wa Wanyonge mda huo alikuwa wapi? Si alikuwa na Nguvu Kwa nini hakuamuru directly?

My Take
Kama Kiongozi hawezi wakemea wakuu wa vyombo vya Dola wanaofanya uonezi huyo ni muigizaji.

Bwana Gerald angechukua mil.6 Kwa sababu heri nusu Shari kuliko Shari kamili.Pole yake
 
Ndg zangu nasisitiza fanya kazi zako ,kama unafanya biashara fanya ,kazi fanya ,usijihusishe kwenye kazi yoyote isiyokuhusu ,usiandamane maana ukifa wengine tutaendelea kuishi na tutamsingizia Mungu kakuchukua na RIP na masikitiko nyuma ya keyboard
Lakini kwenye hizo hizo kazi zako unaweza kuonewa na kudhulumiwa na mamlaka na hao Polisi .
 
Uzalendo
Kuna wimbo wa Dr Remy kipande kimoja anasema "wema kumanyoko"
wema kumanyoko"
KUBABAKE HILI NI FUNDISHO, SERIKALI SIO KITU CHA KUAMINI.
Askari wanapiga fedha za askari mwenzao?🤔

IMEANDIKWA : Nao askari wakamwuliza, “Na sisi tufanye nini?” Naye akawajibu, “Msichukue vitu vya mtu yeyote kwa nguvu wala kumshtaki yeyote kwa uongo. Toshekeni na mishahara yenu.”
LUKA 3: 14
Ikabidi ile story ihadithiwe upya mpaka kufikia kupiga kwangu kelele. Yule mpumbavu Polisi ilikuwa keshaweka milioni yangu mfukoni, kwa aibu aliitoa kwa amri ya RPC na kesi ikaishia hapo.
Haki nyingine ni ya kuiacha, kwa mzunguko wote huo thamani ya hiyo pesa imeisha tayari,familia iliache hili lipite.

Nikikumbuka tu sakata la ramadhan ntunze yule mfanyabiashara wa kigoma
Yaani unazidi kuchoka,ngazi zote
Amepita lakini olaaaaa
Huku chini haki hakuna .....
Mshana Jr

Ova
Mwisho wa siku wakaishia kummaliza🥱
Katika watu ambao hua nafatilia mada zao kwa uhakika niwewe...na Kuna MUDA nikawa najiuliza hapa huonekani..
Bandiko lako nimelielewa
🙏🏿🙏🏿🙏🏿 Nilikuwa likizo kidogo mkuu
 
shughuli za kijeshi hazinaga mkopo, alipaswa wampe chake kwanza ale amalize ndo aanze kupambana, hii imeenda
 
Inasikitisha sana. Tatizo huyo Gerald naye ni wale watu wenye viherehere na sio uzalendo. Pia huo ubishi wa kipumbavu mno kudai huku unaona kabisa kuna hatari mbele yako. Angechukua hata 2m akaendelea na mishe zake.. Hakuna ushujaa wowote endapo utapoteza maisha. Kwa hapa Afrika ukiona chombo chochote cha usalama kimetangaza kutoa donge nono usije ukapata tamaa...
 
huyu bwana alikuwa anafanya kazi ya "secret service" kwenye hizi kazi hamnaga kukopana, mnalipana kwanza ndio unaingia mzigoni, hii story inataka kufanana na ya progozyn putin walivyo changiana na Putin,

Baada ya kuzipata smg angewapelekea picha tu na kuomba chake kwanza, halafu jamaa nae senge tu mil 15 ndio arisk maisha hivyo
 
Huwa sielewi Wadanganyika wenzangu sijui huwa wanafikiri vipi.

Nchi hii inawatumishi wengi na wote hawafanyi kazi zao, lakini wote wanalipwa mishahara yao, posho na marupurupu,halafu wewe unaambiwa ujitolee! kwa nini? Halafu nawewe unafanya kujitolea.

Kuna vyombo vya uchunguzi, kuna polisi wenyewe, Usalama wa taifa, halafu wanalipwa, wanayenzo za kufanyia kazi,wanataaluma ya namna ya kufanya kazi na kupata taarifa na hata kutafuta hizo bunduki, kwanini wewe ulisaidie jeshi la polisi?

Yani wanaolipwa hawaoni sababu ya kufanya kazi zao, wewe unajitolea?!

Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi.
 
Jamaa ni fighter nilichojifunza toka kwake ni Kutokukata tamaa ..

Inasikitisha sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…