Gerald Ibrahim, shujaa aliyetekwa na kupotezwa kwa kosa la kuisaidia jeshi la Polisi

Ndicho kinachoniumaa sio yeye kupotea Wala kutapeliwa Ila kuingia mkataba wa mambo ya usalama bila kula hela ,na bado kuona shida mbele Ila kuendelea kujikuta anajua kudai .

Anyway bring back Gerlad ,aisee serikali fanya hima mrudisheni mzee wa watu ,nimemaliza
 
Kweli polisi hawana uushkaji

Ova
 
Ikiwa hakupotezwa enzi ya utawala wa Magu na amepotea hivi sasa,

Ndugu mshana anajaribu kusema kuwa aliyepo anaupiga mwingi ktk suala Zima la utekaji 🤔
 
Milioni 15 ndo wanamzungusha miaka yote hiyo na sasa wameamua kumteka,kigoma nawaamini sana ingia kazini
 
Wengi wanashindwa kutofautisha uzalendo na kimbelembele...
 
huku kwetu wamewahi kutekwa wafanyabiashara kirahisi tu na watu wanaojiita afisa usalama kutoka ofisi ya raisi,...hapa kwangu mtu akijitambulisha tu afisa usalama anashida na mimi, napita na sikio lake...
 
daah inasikitisha sana sema tamaa nazo ni mbaya pili angeridhika na kidogo alichopewa onq leo amejiponza aseh
 
Taarifa ya siri anaitangaza jamani siangekataa kazi hiyo. Usaliti usaliti jamani sio kitu kizuri
 
Jamaa kadai mpaka awamu ya watekaji alikuwa ameshajichokea nae,ilipaswa aishie kudai awamu ya tano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…