Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Mkuu pengine hujawahi kufatilia operesheni za MossadStory za hawa CIA na operation zao Ni za akili mno
Huyo ni Donald Rumsfield aliyekuwa Waziri Wa Ulinzi katika Utawala wa George Bush.Ni nani huyo?? Btw walio ndani ya mchezo ndiyo wanaojua ukweli wa mambo, wengine tutaishia kuguess tu!!!